KAJALA ANASWA NA KHANGA MOJA MTAANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Imelda Mtema

KATIKA hali ya kushangaza, staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja  amenaswa akiwa ametinga khanga moja na kuwaacha watu midomo wazi.
Kajala alinaswa na kamera yetu maeneo ya Kigogo jijini Dar ambapo watu kibao walionekana kumzunguka na kuhoji kulikoni staa huyo ambaye amezoeleka kutika pamba kali, aonekane na vazi la khanga?
Akizungumza na Weekly Star Exclusive, Kajala alisema alilazimika kutinga khanga hiyo kuendana na matakwa ya filamu yaliyomtaka kuvaa vazi hilo na kuonesha mazingira ya uswahilini hivyo watu waliomzunguka walikuwa hawajui nini kinaendelea.

“Nilipoambia naigiza sinema ya Kigodoro nilishtuka sana lakini mwisho wa siku nilikubali kwa kuwa mimi ni msanii naweza kubadilika kivyovyote na nina imani mashabiki wangu wataniona kivingine, humo ni full mcharuko,” alisema Kajala.
-GPL

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. je,pesa(kaz) inashinda heshima na utu?

    ReplyDelete
  2. Mbona watu wana act kichaa sembuse kanga moja jali kazi mama bora mkono uende kinywani

    ReplyDelete
  3. Heshima aitoe wap alikuwa anatembea billicanas uchi jukwaani sembuse kanga mxiuuu hamumjui huyu nyie

    ReplyDelete
  4. Huo waweza kuwa ni wivu wa maendeleo chapa kaz tu dadangu

    ReplyDelete

Top Post Ad