KANIPA DEADLINE EITHER NIKAJITAMBULISHE KWAO AMA TUACHANE KIMOJA..HELP

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae. 
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 25 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.

Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli.


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukiona hivo keshapata muoaji sa we kama uko kiboyfriend zaidi endelea kusubil.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani hujui akipata mwingine tu masharti kibao kama vipi jikalie kimya tu atakusumbua na huwezi fanya vitu nje ya uwezo wako

      Delete
    2. HAAAAAAAAAAAA HAAAAAAA KIBOYFRIEND ZAIDI

      Delete
  2. Miaka michache ivooo khaaa je mie miaka 7 nshamchoka na kuchoka

    ReplyDelete
  3. Halo hapo unaliwaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Hata km hujajipanga kaka ww nenda 2 kwanza ili wazaz wakuone den kuoa baadae utakapokua tayar au ww umejiweka km mchakachuaji 2 kwake

    ReplyDelete
  5. Uchumba mrefu unachosha bwana,hata mie nsingekubali. Ndoto ya msichana ni kuvalishwa pete mbili na kuitwa mrs fulani si uchumba. Si lazima harus kuuubwa au mahar malaki tele upendo ni muhimu. Kwan kujitambulisha lazima uende na hela? Mdada kachoka, si kwamba hakupendi.

    ReplyDelete
  6. kafanya la mana kwa 3yrs wew unapga mihuri tu hapa aibu hauoni?

    ReplyDelete
  7. kafanya la mana kwa 3yrs wew unapga mihuri tu hapa aibu hauoni?

    ReplyDelete
  8. polee,, try visit dis link, u can make real money......
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete
  9. good girl!!!! anajitambua huyo bint miaka 3 hujajipanga tuuu!!! we sio muoaji bint endelea na msimamo huohuo!!!! habari za kumegana kisela sio wakati wake!!!

    ReplyDelete
  10. Mh! Pole weee babati napajua sana uhusiano wako na mpenzi wako ukidumu zaidi ya mwaka mshkuru sana mungu wenyeji wanapaita "babati msumari wa bati kuishi yahitaji bahati" kuna watu hatari wakuharibu mahusiano ya wenzao hatari. Cha msingi Kama unampenda na una nia Kweli Nenda tu kajitambulishe kwao mahar ni baadae pia uchumba wa muda mrefu unaboaaa!!

    ReplyDelete
  11. Ha kaka hiyo miaka 3 tosha kujuwana mwenzio anataka kuwa mrs fulani. Anataka kuwa mamake fulani hujuwi menopause inaweza karibia umri wowote sio lazima uwe 40's or 50's.kama hupo tayari kumuowa mwenzio usimpotezee miaka.

    ReplyDelete
  12. Bro mi nishapata tatizo kama hilo huyo ashapata raman nyingine sasa anataka kukutafutia 7bu ili akuache bila lawama,acha shughli zako nenda huko ninahakika ataumbuka na utapata jibu sahihi

    ReplyDelete
  13. Alarm ya hatari hiyo bro! bilashaka nae kapewa deadline huko alipo. tafakari chukua hatua...

    ReplyDelete
  14. Kaka askudanganye mtu we amua maamuz yako kama hujajipanga usidanganyike JIPANGE

    ReplyDelete
  15. Wachaga wasenge sana..ndo zao izo pole sana bro

    ReplyDelete
  16. kakaangu naomba uende ukajitambulishe hata kama ndoa ni baadaye kama unampenda kweli we nenda kwa wazazi wake na kama utapuuzia basi huyo atakuwa sio wako tena nakushauri uende tu.

    ReplyDelete
  17. hata me wangu nimempa deadline kma 2weeks zilizopita hamna cha kupata mtu mwingine wala nini demu kaona hakuelew akicheza ataishia kugongwa mihur safi sana

    ReplyDelete
  18. pole sana kumbe ndio wewe,,,huyu bint alinipa habari zako so jikakamue ndugu vinginevyo nambebe coz kasema imani ya kuwa nawe imepungua coz kwao wanamsema sana tangu aseme ana mchumba mpaka leo kimya. Mimi nitapeleka january

    ReplyDelete
  19. we uliekaa miaka saba jiangalie ck utalia na kusaga meno eti me boy wangu alikuwa ananichomekea kwenye stor kwan hujawah kuona watu wanakaa uchumba miaka mi5.me kichwan najisemea subir ck yako itafka wewe ukae na me miaka mitano uchumba me dada yako?nilivyokuja kumpga stop hakuamin

    ReplyDelete
  20. Vip na chimbo ulishalichimbua au ndio uchumba wa kilokole.

    ReplyDelete
  21. BRAKING NEWS: MANGE MIPANGO YAKE YA BABY SHOWER KAMA YA DIVA KWISHINEI.
    AMEZUIWA ASIJE KUFANYA UMACHINGA.
    NDIO WADADA MJIFUNZE SI KILA MZUNGU ANA PESA UNAWEZA KUHANGAIKA HADI UKAZALIA NJIAN ILI MSAIDIANE KULIPA BILLS.
    ALIEBAHATSHA MZUNGU NI TEDDY TU NA KILLY

    ReplyDelete
  22. Madigger mnaolilia kuolewa na wazungu labda mkaishi Africa au nchi kama England, Uholanzi au Belgium, nchi nyingine mjiandae kubaguliwa. America kwenyewe ubaguzi kishenzi

    ReplyDelete

Top Post Ad