KANYE WEST NA KIM KUSIGN MKATABA WA KILA MTU NA MALI ZAKE WAKIOANA...HAKUNA KUSHARE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii ni kali ya mwaka imegundulika kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo yatavunjika.....Katika hilo watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kanye kamuweza huyo goldiger kim,safi sana...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  2. Dah kim hachomok safari hii mipango yake imeshindwa kanye nouma

    ReplyDelete
  3. he did better,congrats to him@west

    ReplyDelete
  4. Chezea kanye west...alisha soma mchezo kitambo.

    ReplyDelete
  5. Duuh,,,haya make more money online visit this link ryt now...
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete
  6. jaman pole ma dear wema sepetu kwa kufiwa na baba yako mzee sepetu@we mdaku mbona hii habar hujaweka?

    ReplyDelete
  7. wewe hapo juu kim has been a millionare since she was born she dont need gold to dig just fame

    ReplyDelete
  8. wewe hapo juu kim has been a millionare since she was born she dont need gold to dig just fame

    ReplyDelete
  9. Kim ana pesa kuliko Kanye ! Goldiger my ass, kwanza sio Kanye alie fanya maamuzi hayo bali ni Kim.

    ReplyDelete

Top Post Ad