NEY WA MITEGO ASEMA"BASATA WANANITAFUTA KUNICHIMBA MKWALA NISIVAE KATA K"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache zilizopita mwana Hip Hop kutoka pande za Manzese Nay Wa Mitego alipokea barua kutoka BASATA inayomtaka kubadili aina ya mavazi anayovaa katika show zake (mlegezo/mtepesho) ambayo hayaendani na Tamaduni za kitanzania.

kizungumza na Bongo5 leo kwa njia ya simu Nay amesema amekuwa akivaa mlegezo kwa kipindi cha miaka ishirini hali ambayo itamwia vigumu kubadilika kutokana ni mtindo ambao ata mashabiki wake wengi wameuzoea.

“Nahisi kuna kitu kingine wanakitaka toka kwangu kuhusu muziki wangu ndiyo maana wananitishia kunifungia wakati mimi nafanya muziki kama ndiyo maisha yangu, kwahiyo kubadilika kwa haraka kuvaa mlegezo siwezi labda baada ya miaka 3 ila inategemea” Alisema Nay.

Aidha  katika mahojiano mengine na kipindi cha Showtime kupitia kituo cha RFA ya Mwanza Nay amesema kuwa Baraza hilo lina majukumu mengi ya kufanya kwaajili ya kuboresha  maslahi ya wasanii badala ya kuhangaika na kumzuia kuvaa mlege ili hali wanaovaa hivyo ni wengi.


“Sasa hata baraza la sanaa Tanzania wana shughuli nyingi  sana za kufanya nyingi sana ili sanaa yetu isonge mbele mambo yetu yaani wasanii tuishi maisha mazuri lakini si swala la kufuatilia mlege wa Nay, hapana kuna kitu behind ambacho kinaendelea sijui ni nini  maybe wameamua waanzie hapo ili wastopishe kile ambacho nakifanya.”

Bongo5

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vaa nguo vizuri wewe! nani anataka kuona matako yako kwanza huna kitu una vikalio tu, hiyo vaa yako una copy kutoka kwa mashoga huko kwa wajinga wenzenu, sasa tumechoka na ujinga wako, kwani huwezi imba bila upuuzi huo?

    ReplyDelete
  2. Halina akili halijasoma yeye na demu wake mpaka mkorogo ila kisim na matako meusiiiii yamedunda sipati picha wakiwa uchi wote walivyo hovyooo

    ReplyDelete
  3. Mademu wa mwanza washamba mno kweli mwenye akili zako unaweza mvulia chupi mwehu huyu

    ReplyDelete

Top Post Ad