KOLETA" POMBE NI TULIZO LA MOYO WANGU ULIYOJAA MAJERAHA YA MAPENZI..SIWEZI ACHA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Bongo Movie Koleta Amehabarisha kuwa Pombe ndio mpenzi wake kwa sasa kwani ndio humsahaulisha majeraha aliyoyapata kwenye Mapenzi .....Amesema hawezi acha pombe na mtu akitaka kukorofishana nae basi amshauri kuacha Pombe atakiona cha Moto....

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anapenda RA a zinazoendana NA ulevi

    ReplyDelete
  2. MMLIKI WA HII BLOG NA BLOGGERS WENGINE, EBU ACHEN TABIA MBAYA YA COPY AND PEST, HABARI MOJA IKO BLOG ZAIDI YA 20, NA HII NIMEISEMA HATA KWA BLOG NYINIGNR NAJUA HAWATAIRUSHA, ACHEN HIZO, MSIPENDE HELA YA MTEREMKO, TAFUTEN HABAR NA LETEN WATU TUSOME, NDIO MAANA MANGE ANAKUWA JUU, WATU WANAKALIA TU KUMCHIKIA, SABABU YEYE MAMBO YA COPY NA PEST NI MWIKO HATA AKIFANYA KWA HABAR CHACHE UTAFURAHI MWEYEWE, KUWEN WABUNIFU.UMELALA TU NYUMBANI NA KUANZA KUAPLOAD HABARI KUTOKA KWA WENEZENU WALIOFANYA KAZI, TENA HASA MNAONGOZA KWA KUCHUKUA HABAR GLOBAL PUBLISHERS, ACHEN HIZO, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE.manapata UMAARUFU kwa habar za wenzenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe jiandae tuu kwenyeshida kubwa kuliko hii ndongo unayo omboleza maana hii ni ndogo hii uliojingiza kukana wazio huko Muhimbili wanatibiwa wewe ona kamasifa

      Delete
  3. Haya cha-pombe tuambie unakunywa pombe ipi ,ni dadii,chang'aa,mtukulu,ulanzi,komoni,kachasu,rubisi,chibuku,tembo,mnazi,ulaka,nipa,rungu,pombe mavi au matingasi?

    ReplyDelete
  4. cha pombe wetu huyo ndio maana siku hizi umekuwa mzulumati

    ReplyDelete

Top Post Ad