"KUOLEWA NI LAZIMA, SIWEZI KUKAA BILA MWANAUME"....WASTARA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI mahiri Bongo, Wastara Juma Issa Abeid ‘Wastara’ amesema suala la kuolewa tena halikwepeki licha ya kutokuwa na mawazo juu ya suala hilo kwa sasa.


Akizungumza na paparazi wetu, Wastara ambaye ni nadra sana kukosea awapo mbele ya kamera, alisema yeye kama mwanamke aliyekamilika hadhani kama atakaa bila mwanaume lazima ataolewa tena.

“Mimi ni mwanamke niliyekamilika, suala la kuolewa ni lazima, japo kwa sasa sifikirii kufanya hivyo, lakini sidhani kama nitaweza kukaa bila mwanaume, lakini pia usumbufu kutoka kwao unaendelea,” alisema Wastara

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Olewa tu dada maisha ndo hayahaya,no way!

    ReplyDelete
  2. nadha wewe ndo kioo cha jamii,wadada wote bongo move wanatakiwa kujifunza kwako, unajitahid sana kuwa kioo cha jamii

    ReplyDelete
  3. I wish nikuoe sijaona mfano wako kwa uliyopitia!.

    ReplyDelete
  4. Mh maamuZi juu ako

    ReplyDelete
  5. Mungu awe nawe

    ReplyDelete
  6. Mmnh! Na miwaya je dada?! Mpango wa kugawiana ukimwi upo nje nje hapo.

    ReplyDelete
  7. DADA WE MAANA HATA MABINGWA WA KUTUSI WAMEKSIFIA niite BADA.

    ReplyDelete

Top Post Ad