MASHABIKI WA YANGA WAZIMIA KWA KUTOKUAMINI KILICHOTOKEA JANA SIMBA NA YANGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakika Baada ya zile Goli tatu za Yanga kipindi cha kwanza hakuna aliye amini kuwa simba wangezirudisha zote ..baada ya kipindi cha pili Simba walirudisha magoli yote na kufanya Baadhi ya Mashabiki wa Yanga kuzimia kwa kutokuamini kinachotokea uwanjani kwa vile walikuwa washajiwekea wamesha shinda....Kweli mpira dakika 90

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanajiamini kuwa wameshinda kwa wajanja wao simba wakati game haijaisha! Wajinga hao!

    ReplyDelete
  2. simba wanaume mi jana heshima

    ReplyDelete
  3. siku zote mwanamke ndyo anayetangulia guest,,kidume huwa kinafata nyuma badae

    ReplyDelete
  4. Mi namtaka yule mshabiki wa yanga aliesema atajinyonga yanga isipo chukua point 3!!

    ReplyDelete
  5. Uwe na uhakika na unachoandika. Nilikuwepo uwanjani, hao unaodai walikuwa wanazimia walikuwa wanatoka eneo ambalo walikaa washabiki wengi wa Yanga na ilikuwa kipindi cha kwanza wakati Yanga inaongoza. Kipindi cha pili waliokuwa wanazimia walikuwa wanatoka upande wa Simba wakati wanaanza kusawazisha. Si kama unavyosema waliokuwa wanazimia washabiki wa Yanga wakati Simba inasawazisha

    ReplyDelete

Top Post Ad