ANGALIA PICHA ZA LADY GAGA ALIPOTUMBUIZA AKIWA UCHI MBELE YA UMATI WA WATU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita


Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo kajichokea

    ReplyDelete
  2. Huyu mzima Kwel

    ReplyDelete
  3. Huyu Anajidhalisha! By MR. LOVE

    ReplyDelete
  4. nishaona uchi wa lady gaga kwenye ile skendo kutambika uchi..hana matako makubwa kama hayo na ana tatto kibao kwenye mgongo na mapaja na habari kama hii ningeiona TMZ.COM ...ungeeka pcha tuone sura angalau 2amin..

    ReplyDelete
    Replies
    1. NI LADY GAGA TRUE SEMA HAJAWEKA PCHA ZA KUTOSHA NA VDEO.....PCHA ZINGINE TATTOO ZINAONEKANA FRESH NA SURA YAKE

      Delete
  5. true sio lady gaga huyo..nime search google lady gaga tattoes wameleta akiwa na tattoo kibao mgongoni na hapo sioni hata 1

    ReplyDelete
    Replies
    1. NI LADY GAGA TRUE SEMA HAJAWEKA PCHA ZA KUTOSHA NA VDEO.....PCHA ZINGINE TATTOO ZINAONEKANA FRESH NA SURA YAKE

      Delete
  6. Ushamba mzigo tatoo zinaweza kufinikwa kwa makeup tafuta picha za Kat Von de wa LA ink mwenye tatoo kuanzia usoni mpaka mwili wote ni tattoo na kuna photo shoot alifanya hakutakiwa kuonekana na tattoo zilifunikwa zote huwezi kuamini

    ReplyDelete
  7. chizi na madawa yao ya kulevya ndio yanawasumbua sasa hapo anathamani gani,

    ReplyDelete

Top Post Ad