LEMA " KAMA KUNA MTU ANAFAA KUOMBEWA AISHI MIAKA MINGI NI TUNDU LISSU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Godbless Lema akiwahutubia wananchi wa sombetini arusha leo amesema lisu ni mtu muhumu sana ktk nchi hii anapwaswa kuombewa aishi miaka mingi kwasababu amekua msaada mkubwa kwa taifa na chadema,kwasababu ni mtu mwenye kupenda haki na kuisimamia,nadhani mmesikiliza hotuba ya rais jana lisu ndio alikua gumzo na kama lisu ni muongo mbona amekubali kukutana na Nccr, Cuf na Chadema, Lisu ni mkombozi wa Taifa.
-JF


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa nini usiombee chadema iishi milele na wapiga kura aw Arusha wasife ili waendelee kukuweka Mjini? Lissu na wananchi aw Arusha nani muhimu? Kumbe we kukaa sana gerezani umeanza kuwa choke eeeeeeh?

    ReplyDelete
  2. Unaumwa sana wewe uliyesems hapo juu kama huna cha kusema nyamazs

    ReplyDelete
  3. Uncle samy singida. M2 mhimu lazima kuombewa aishi mda mwngi kw uwezo MUNGU we unaepinga LISU acombewe unaumwa MAVI ya CCM nenda kaoge kama vp nitokee 0712420210

    ReplyDelete
  4. anaye mponda lissu anipe namba yake

    ReplyDelete
  5. Taifa la Tanzania tujivunie kuwa na Tundu Lisu, tuombe tupate watu kama TUndu Lisu 30 tu wananchi wa tz wataishi kwa kujiamin na serikali itakuwa wazi ktk kila jambo linalohusu wananchi wake. God bless Tundu Lisu.

    ReplyDelete
  6. tutazidi kumuombea mungu amzidishie maisha

    ReplyDelete
  7. Ewe mungu muweke LISU hai kwa muda utakao wewe muumba ila tunamuitaji sana kwa ajili ya kutukomboa cc mateka wa haki chini ya utawala wa ccm. Eee baba wa mbinguni nakuomba hayo ktk jina la mwanao YESU. Ccm ishindwe iende kuzimu amen

    ReplyDelete
  8. Lisu noma namuelewa sana

    ReplyDelete
  9. Namwelewa cna Bro Lissu

    ReplyDelete
  10. Well done tundu we noma usilegeze tuko pamoja

    ReplyDelete
  11. Tundu tumia hekima zaidi wewe ni mzalendo kama mandela walimfunga lakini haikusaidia kazikwa kwa heshima zote watakuyumbisha ila lazima kieleweke god bless you

    ReplyDelete

Top Post Ad