LINAH AELEZA UKWELI: MAFANIKIO YAKE YAMETOKANA NA KUHONGWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Anasema yeye mwenyewe binafsi katika kazi zake za ujasiriamali mtaji wake ameupata kwa kuhongwa na mpenzi wake akachanganya na fedha yake na maisha yanakwenda.

Anafafanua kuwa siku zote mpenzi wako hawezi kuacha kukuhonga kwakuwa kwenye mapenzi kusaidiana ni lazima,kwahiyo haoni ajabu yoyote mtu kuhongwa.

"Kusema ukweli mimi mwenyewe boy friend wangu kanisaidia sana na bado anaendelea kunisaidia,mimi sijali mtu aseme lolote analotaka lakini kama nahongwa for benefit sina tatizo na hilo"alisema Linah.

Ameongeza kuwa tatizo watu wamekuwa wana maneno maneno sana na kufuatilia ya watu badala ya kufanya mambo yao lakini ili mradi mambo yake yanakwenda safi hajali lolote anatazama maisha yake zaidi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yule mvulana hana hela ya kukuhonga wewe sema unahongwa na mababa wame za watu,sema yote unaficha nin nyooooooo

    ReplyDelete
  2. Nowdays ndio mpango mzima, mademu tunahongwa na majibaba na ciye tunahonga viserenget na viserenget vinahongwa na majimama mashugamami na wao wanaenda kuhonga vibint vidogo, habar ndo hiyo! Blk beauty wa Atown

    ReplyDelete
  3. BIG UP LINAH KUKUBALI KUWA UNAHONGWA,USISEME BOY FRIEND WAKO SEMA MZIIFU MWENZIO. Mi mwenyewe nakutaman sana LINA ila siwez kuhonga zaid ya 5000. mi mwenyewe ninaye mzinifu mwenzangu nikimpa book 2,analizika. Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  4. Ni kwel anahongwa na kile kiboy friend chake, kwasababu yule kijana ni kama hana hela ila na yy yupo ktk ishu ya sembe kama pundaaa ndomana anahela yakumuhonga lina!

    ReplyDelete
  5. Hahaha, mnanichekesha jaman, eti anasema anahongwa na kile ki boy friend wake hakuna hata hela , chenyewe kinasubir kihongwe, alafu unasema watu wanafatulia sana maisha ya watu, hv bios nyie kujifanya wasanii na kujitokeza kwenye jamii, kujitangaza tangaza kwenye magazet lf style zenu kuna mtu ange wafatilia , wewe linah achakuongea upuhuz, na ngoja nikufuatilie vizur , hv wewe designer wako nan, unavaa vibaya. Kishamba hujui kupangilia nguo kuendana na mwiligwako na fashion pia , hebu. Huliza wenzako , kama jackline wolper, or wema, yaan unavaa vinguo vya uchi lakin bado hupendez shoga, there ar so many gd designers in tz, , hebu jarbu kuwasiliana nao, pls , alafu ucpende kugtudanganya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau sasa wolper naye anavaaga manin yale na yale marangi kama mcheza show hata huwa hapendeziiii kifup ni mshamba sana

      Delete
    2. we kapuku fatilia ur life ya lina ayakuusu

      Delete
  6. We. Mkundu kweli, kama angekuwa hataki kufatiliwa angetoa ma habari yake , watu wayajue, nawe kula kona ,huna ishuuuuu, nyokooo we.

    ReplyDelete

Top Post Ad