NISHER NA PRODUCER LUCCI WAANDIKA HISTORIA NYINGINE KWA VIDEO YA SUMU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jikubali ya Ben Pol ilikuwa ni video ya kwanza aliyoongoza Nisher kuchezwa Channel O, na sasa muongozaji huyo wa video kutoka Arusha, ameandika historia nyingine na video aliyomfanyia producer wa Transformax, Lucci Da Don.


“Nimefurahishwa na mapokezi ya video mpya ya #SUMU by #LUCCI… Kwa mara ya kwanza katika video zangu zote, video hii imefaulu kukubalika katika blog moja ya Marekani Kwa jina la “VIEWHIPHOP” yenye followers 43,336,” aliandika kwenye Facebook.


Video ya Lucci imewekwa kwenye video za wasanii ambao hawapo chini ya label yoyote (unsigned)

Source:Bongo5.com
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad