MSANII WA BONGO MOVIES CLOUDS AMTUSI MAINDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’, mkali wa sinema za Kibongo amesema kitendo cha mwigizaji Mussa Issa ‘Cloud 112’ kumwambia Ruth Suka ‘Mainda’ kuwa hana mvuto wa kucheza ‘scene’ ya mama wa nyumbani ni sawa na kumtusi kwani siyo sawasawa.
Akipiga stori na paparazi wetu, Dk. Cheni alifafanua kuwa kwa wadhifa alionao Mainda kwenye gemu ni makosa kumwambia hawezi kuigiza nafasi ya umama wakati anaweza sana.

“Cloud ni kama amemtusi Mainda, binafsi siwezi kumuunga mkono, mimi naweza kucheza naye scene ya wanandoa kwa kuwa ni msanii mwenye uwezo mkubwa,” alisema Dk. Cheni.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu bwana... Wakiambiwa ukweli kwao matusi Mainda kiukwel mbegu mbaya!! Claud hajakosea kabisa labda achezeshwe beki3 au mtoto.niwalong lakini hakui!!! kipindi hicho kaolletizama wenzie walocheza wadada leo wanacheza mama yy mmmh mwili utamkosesha sin...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nduguvzakobwotecwalioolewa ni warefu? KWAN KUWA MFUPI NA MWENYE MWILI MDOGO HUWEZ KUWA MAMA? Mbona mnawaza juu juu tuu? Kwan wamama wote uku dunian wana miili mikubwa? Mbona wakina aki na ukwa kuna movies wameact kama babA?

      Delete
  2. LULU HUWEZI KUCHEZA UMAMA,LABDA UCHEZE UCHANGUDOA,BEKI 3,NYUMBA NDOGO,CHOKORAA, niite EKITUGU.

    ReplyDelete
  3. SAMAHANI SIYO LULU NI MAINDA.

    ReplyDelete

Top Post Ad