MAMA KANUMBA"HUYU MCHUNGAJI KAIRUKI ANANITAFUTA KWA KUDAI KANUMBA YUPO HAI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya hivi karibuni kuibuka tena kwa yule nabii na Mchungaji George Kaiuruki na kudai kuwa Marehemue Steven Kanumba bado yu hai, FROLA Mtegoa - mama mzazi wa aliyekuwa mwigizaji nyota filamu wa Bongo marehemu Steven Kanumba amesikitishwa na tabia ya mtu anayejiita Nabii George Kairuki kwa kutumia jina na kifo cha marehemu mwanaye kama njia ya kujitengenezea fedha na umaarufu, mama Kanumba anasema kuwa awali Kairuki alitumia msiba wa mwanaye katika kuongelea vitu ambavyo hata familia haivijui isipo kuwa yeye pekee yake.



Mama Kanumba anadai kuwa hivi karibuni Kairuki alijitokeza kwa kudai kuwa Kanumba hajafa na amemtumia fedha katika simu yake, na kusema kuwa karibu atamrudisha duniani na kuendelea na maisha yake jambo ambalo mama wa marehemu anapingana nalo kwa kusema kuwa yeye kwa imani yake anaamini kuwa mwanaye amefariki na hakuna miujiza mingine.

“Huyu mtu anayeitwa Nabii George Kairuki sijui anatafuta nini katika familia yangu, Kanumba alikuwa ni kipenzi cha watu na sisi sote tumeshuhudia hilo kama kweli yeye ana uwezo wa kumfufua amfufue watu wote watafurahi kipenzi chao kurudi kama anavyosema yeye, mimi simjui hata sura zaidi ya kumuona katika picha,”anasema mama Kanumba




Mama Kanumba anasema kuwa iwapo Kairuki ataendelea na tabia hiyo itabidi afanye utaratibu wa kumfungulia mashitaka na hata ikibidi kumfungulia mashitaka na kumfunga endapo ataendelea na tabia ya kutumia sana jina la Kanumba katika kujitafutia fedha na kutangaza maneno ya ajabu ajabu.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio tatizo la wachungaji feki.ameshindwa kuwafufua ndugu zake waliokufa aje amfufue Kanumba?yeye mwenyewe hapo alipo anaogopa kufa na anajua ni mtenda dhambi sema anasa za dunia zimemtawala anatumia dini na majina ya watu maarufu kujiongezea pesa.huyu mtu ni mpumbavu sana sijaona kiongozi wa dini mburula kama huyu

    ReplyDelete
  2. Mchungaji mjinga sana!Yeye anadhani akitumia jina la Kanumba litamtoa kwenye udhalili aliyenao wa kujipatia ruzuku kwa kuwatapeli watu?Anawachunga watu ambao hajaumba!!!
    Amuache Kanumba alale zake salama.

    ReplyDelete
  3. tena mburuze lupango huya

    ReplyDelete
  4. Labda hasemalo ni kweli lakini asiitishe pesa.

    ReplyDelete
  5. Hii dunia haiishi visa ni ww tu kutumia akili kuna ck u nilishangaa nilipita maeneo flani Moro town,yani kunajamaa kajaza watu eti anawaambia yy anayo dawa yakuwaona ma free manson ukitoa elf2 anakupa unapaka then unawaona woote eti wapo watu maarufu wengi akadai utamuona Masanja mjandamizaj Kanumba eti kanunba yuko hai lol??? Nilickitika sn!nilitamani nimfate pale nimwambie acha kudanganya watu.. Nilishndwa!! Yani km kunasheria plz mama Kanumba fatilia hili swala c zuri linackitisha afu watu wapo tu yani wanaamin!

    ReplyDelete
  6. Visit here n make money online,..
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete
  7. huyu jamaa ni feki tena mbumbula alikuwa wapi kabla kanumba ajazikwa alitakiwa amfufue ili tuamini mambo je leo ndio ataweza kumfufua kanumba kama si mwehu huyu

    ReplyDelete

Top Post Ad