MASHABIKI WALIVYOPONDA UWEPO WA ALLY ZAHIR ZORRO KUWA KAMA JUDGE WA TUSKER PROJECT FAME

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mashabiki wengi wa shindano la 'Tusker Project Fame' linalofanyika nchini Kenya kila mwaka wameonekana kutofurahishwa na ujio wa jaji mpya wa shindano hilo anayefahamika kwa jina la 'Ally Zahir Zorro' ambaye ni Muimbaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania aliyeungana na majaji wengine 'Ian Mbugua' wa Kenya na muimbaji 'Juliana Kanyomozi' wa Uganda kama majaji wa 'Tusker Project Fame' msimu huu wa 6.

Uwepo wa 'Ally Zahir Zorro' kwenye mshindano hilo la kuibua viapaji limekuja baada ya Mwanamuziki huyo mkongwe amechukua nafasi ya aliyekuwa jaji kwa misimu iliyopita anayefahamika kwa jina la 'Hermes Lyimo', ambapo hata hivyo uwepo wa mkongwe huyo wa muziki wa Tanzania haukuwavutia mashabiki wa shindano hilo kutokana na maneno waliyokuwa wakiyatoa kwenye mitandao ya kijamnii. Chini ni baadhi ya maneno ya mashabiki hao: 

"@aimabadi: @IanMbugua Do you have any plans of bringing back judge Hermes on #TPF6" Sadly not up to me" can we placard? I hate new judge.
— Rayhab Gachango (@potentash) October 6, 2013
"@marcusolang: Zorro from Tanzania. Or, as my fiancée calls him: "5 Chainz." #tpf6" he should do a sengenge ad.
— Njeri Ngige (@SunnyLikeNjeri) October 6, 2013
@IanMbugua #TPF6 Julianna & Ian where so isolating Zorro, d expression on Julianas face whenever zorro opened his mouth was evident
— Daphny (@wegnerdk) October 6, 2013
#JudgeZorro mst be the lost twin bro, to Franco!..na wao/; #tpf6
— Chiquitta Sue (@SuzzyMadds) October 6, 2013
I know Tanzanians are world re-known for their lows but#JudgeZorro has given 'low' a new definition…#TPF6
— The Makodingo® (@makodingo) October 6, 2013
#JudgeIan must be having a field day with #judgeZorro since all he is saying is good job..#TPF6 hahahaahaa….#funny
— 18th Oct JulianaLive (@geobilljuice) October 6, 2013
watching #TPF6 and wondering where TF is judge Hermes i wonder who chose this man Zorro… mayoooooo!!
— Martha M.M (@Dswitchilli) October 6, 2013
#JudgeZorro salute right back atcha……kizungu ndo hard nini??
— Taiy Cheruiyot (@jacquelyn_Cc) October 6, 2013
Two words #JudgeZorro #Tpf6 #dead
— Vania Maria (@VaniaLattechoco) October 6, 2013

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli waKenya hawatupendi mnoooo.... Angalia tweets karibia zote za kuponda wamepost wao....

    ReplyDelete
  2. Kenyans need to get over themselves they so wish they were Tanzanian cause everything their hearts desires is in Tz so they are so obsessed with Tz they can't get enough of it. Bashing is their number one priority even before their jobs they can take a week off work just to bash Tz for no reasons at all come on Kenyans get a life

    ReplyDelete
  3. Kenyans are very arrogant full of hate towards tznians while they still come to bongo to look for jobs. people like kagendo.omondi even at radarrecruitment they r flocking to search for jobs. we should breakaway from EA ASAP.

    ReplyDelete
  4. wakenya wabaguz knoma yan

    ReplyDelete
  5. Wakenya tatizo lao hawana akili ni mambumbu

    ReplyDelete
  6. Wakenya wasenGe kuzidi usenge wenyewe.

    ReplyDelete
  7. wakenya acheni sifa za kibwege kujifanya mnajua xana kumbe nyie mambulula 2 kwe2...

    ReplyDelete

Top Post Ad