MNENGUAJI MAARUFU 'NYAMWELA JR' ATIWA MBARONI KWA KASHFA ZA KUMLAWITI MTOTO WA KIUME WA MIAKA 6

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MNENGUAJI wa kiume wa Mashujaa Band, Juma Nyamwela (Nyamwela Jr) amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kiume wa umri wa miaka sita.

Kwa sasa mnenguaji huyo yupo kituo cha polisi cha Mabatini Kijitonyama jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya tatu tangu akamatwe kwa tuhuma hizo.

Habari za uhakika kutoka kituoni hapo zinasema katika maelezo ya awali, mnenguaji huyo amekiri kosa.

Chanzo cha Chetu kimeeleza kuwa huenda mnenguaji huyo akafikishwa mahakamani siku ya Jumatatu.
Nyamwela ambaye ni mdogo wake na Super Nyamwela wa Extra Bongo, aliwahi kuitumikia TOT Plus kabla ya kujiunga na Mashujaa Band. Mwaka 2007 aliibuka bingwa wa mashindano ya dansa bora wa kiume yaliyoandaliwa na Usher Family na kujinyakulia zawadi ya gari.


source:- Salute5

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kimemsibu nin jaman mpaka kufanya tendo kama hilo sasa anaenda kuozea jela lol

    ReplyDelete
  2. Pumbav zake ameshindwa kuilawiti hiyo minenguaji yao inayokaa uchi stejini, anamlawiti mtoto. Laana ya mungu imshukie na afungwe kifungo cha maisha..

    ReplyDelete
  3. loh kweli dunia imefikia mwisho!!! huyo atakua na imani za kishirikina pumbavu zake na akafie jela!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yale yale ya kina Nguza, halafu watz wanawatetea. Mpaka mtoto wako afirwe ndio utaacha kutetea upuuzi huo, oooooh nguza kaonewa as if watu walikuwepo wakati anakula witi za watoto . Amekata rufaa mara tatu, bado majaji wote hao hawana akili au wamehongwa!

      Delete
  4. Je na wewe unaekubali nguza family wamelawit ulikuwepo?acha kushabikia ucyoyajua,kwan hao majaj walishushwa kama malaika,nao ni bnadam na wanamapungf.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo umenena, yan watu cjui wapoje wakisikia mtu flan kahusika na tukio flan wao moja kwa moja wanahukumu badala ya kutaka kujua kama ni kweli au uongo,sa kama mtu kasingiziwa je??
      TATIZO KUNA WATU WANA UWEZO MDOGO SANA WA KUFIKIRIA

      Delete
    2. Acha kuropoka kishabiki wewe! Ushahidi wa watoto,tena kumi kwa idadi,ndo uliowatia hatiani babu seya.Ushahidi wa mtoto ni ushahidi wa malaika,haupingiki popote duniani na mbinguni.

      Delete
  5. Kula jela,nyambaf we,mwanaharamu we usie na haya,huko jela ndo wapo wakulaw....au wakuku......

    ReplyDelete
  6. Kabla ya kucomment 'aende jela'
    jiulize labda kama unakua ndo wewe halaf kesi yenyewe ndo umesingiziwa??
    Jaman kuwen na vichwa vyenye uwezo wa kuchanganua mambo!!
    Ndo yale yale ya NGUZA

    ReplyDelete
  7. Nyamwela na Babu seya lao moja,wanapenda kulawiti watoto,utashangaa kuna mijitu isiyokuwa na maana duniani hapa,eti wanawaonea huruma ma kuwatetea.Utakapoliwa mkundu ukiwa umelewa au mwanao wa kiume ndipo utatia akili¡

    ReplyDelete
  8. Je polisi ina hamua nini kuusu kesi hiyo ?

    ReplyDelete
  9. Ha!ha!ha!ha! Mbavu sina kwa hizi coment zenu, eti ngoja ulewe, au ulawitiwe mtoto ndio utaona machungu---

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usichane mbavu zako bure,hawa wote wanaomtetea babu seya na nyamwela,wote wameshaliwa mikundu yao tangu wakiwa watoto,sasa wamenogewa kuliwa tigo,wanaona ni jambo la kawaida kwao na wanatushangaa sisi
      tunaolaani kitendo hicho.

      Delete
  10. Hawa mabasha lazima wana wasenge wao uraiani,mikundu inawawasha,ndiyo maana wanalialia waachiwe ili waje kuendelea kuwapiga miti.

    ReplyDelete

Top Post Ad