MASKINI WEMA SEPETU ALIA TENA BAADA YA GEZETI KUANDIKA ATANYONGWA CHINI NA MADAWA YA KULEVYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema kunyongwa China’ ndio kichwa cha habari iliyomtoa machozi Miss Tanzania (2006) Wema Abraham Sepetu leo iliyoandikwa na gazeti liitwalo ‘Filamu’ katika ukurasa wake wa mbele.

Wema ambaye ni CEO wa kampuni ya Endless Fame leo alianza kwa kupost picha ya gazeti hilo na kuandika “Hahahahha.. haya niombeeni watanzania…. aisee… magazeti ni noumerrr… mambo ya kunyongwa tena na wakati sufuria zina shake zenyewe… dah… this made my day”

Na masaa mawili baadaye hiki ndicho Wema alikiandika kupitia Intagram kuhusiana na kilichoandikwa na gazeti hilo.

Dah, Siwezi sema niko happy, im not at all, na sikuwahi kufikiria kwamba magazeti yetu ipo siku yatakuwa na gut ya kuandika uongo wa namna hii. Just because nakaaga kimya ndo muone kwamba mnaweza nionea all da time, roho inaniuma sana, naumia kwasababu nimechoka kuchafuliwa jina bila sababu.

Nimesema nitoke zangu kimya kimya kuja huku kujihangaikia zangu kuhusu kazi zangu ila nimeonekana nimekuja kuuza unga na nitanyongwa soon. Wen are you guys gon leave me in peace..sidhani kama nishawahi kumkosea mtu yeyote kati yenu. Maskini ya Mungu naishi maisha yangu mwenyewe sina habari na mtu. Sijawahi hata kufikiria kufanya those stuff. Nimeumia sana. Da last time I cried was wen nilipoambiwa nina pepo la ngono…leo ninalia ten aim jus so so hurt… God help me please.

Wema siku za karibuni amekuwa aki post picha mbalimbali zinazoashiria yuko nje ya nchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shigongo on duty, mtumishi feki wa mungu anayetafuta maisha kwa kuumiza wengine. Hivi huyaonagi wanayofanya mawaziri, wabunge na viongoI wngne mengi, ruge atc au ww una wanyonge wako wakina wema na uwoya. Shame on you ww mwenyewe tumekustahi kupenda mizigo mikubwa mikubwa so ndo zako mbona hujiandiki?

    ReplyDelete
  2. Acha kukurupuka mjinga ww, kwnn unacomment kitu ambacho hukijui.. Aliyekwambia gazeti la filamu ni mali ya shigongo ni nani??
    Sio lazima kucomment kila post unayoina, na usicomment kitu usichokijua..

    ReplyDelete
  3. Kweli ndugu huyo jamaa hapo juu anaongea v2 acvyo vijua anaweza hata akachukuliwa ha2a, tangu lini gazeti la FILAMU likawa la shigmgo, mpumbavu wa akili huyo kama v2 hamvijui co lazima mchangie mtafunpwa, Puumbaafuuu!

    ReplyDelete
  4. Poleni sana maana wengine wanakurupuka kuchangia bila kuchuja,ila huyo wema akiona haandikwi magazetini anatafuta skendo ilimradi aonekane tu yupo,tumekuchoka maana wasanii wengi imekuwa ishu kujitangaza mmekamatwa na unga,1wewe wema uchunguzwe wawezakuta wewe n pusha

    ReplyDelete
  5. Sad sad hivi hakuna sheria Tanzania!? Pole my Beautiful Onyinye Wema ndio umaarufu huo mama jikaze acha kulia safari ni ndefu. Mapenzi mingi mingi kwako Wema Sepetu<3

    ReplyDelete
  6. Anony wa kwanza na ww hapo juu mna akili sana ila nyie mamburula wengine mliobakia mna umaskin wa kufiria.....wema wanamuonea sana mtt wa watu kila skendo mbaya yeye na hata kama huo uchafu unaoitwa filam sio la shigongo ila magazet yake yote yanachafua sana majina ya watu...Shigongo na ww anika maovu yako tumekuchoka

    ReplyDelete
  7. Kwa pepo la ngono kweli unalo maana unagawa sana, bt take it easy life goes on!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pepo la ngono unalijuwa au waliskia ? wewe ulishawahi kulalwa na wangapi !? then na wewe unalo hilo pepo la ngono,mtu akiona mwanaume au mwanamke hamfai afanyeje akae tu kwa kuogopa yeyee people like u mtasema ana pepo wa ngono? Umuache my Beautiful Onyinye Wema !

      Delete
  8. Kwa pepo la ngono kweli unalo maana unagawa sana, bt take it easy life goes on!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe acha kuropoka kapige mswaki kwanza ndo urudi eti ana pepo la ngono unalijua wewe hilo pepo? Mpaka hapo wewe ushawahi kutiwa, kutia na kufirwa na wangapi? mmuache wema afanye yake coz humsogelei hata robo kimaisha. Fyuuuuuuuuuuuuuuuuu

      Delete
  9. nyie wasenge wawili shigongo anawagonga nini kumanina zenu huyo shigongo ata kama ajatoa hiyo habari ila ndio tabia zake malaya huyoo na nyie wasenge wengine kama mnataka wanaume njooeni mtaani tuwapasue vipele vya mikundu..pole wema

    ReplyDelete
  10. Yarn nyie mtatukanana wenzenu wana make money hata hivo mshakua kua chambo wa kudumu

    ReplyDelete
  11. Shigongo kuma2 mnamtetea nin nyie wesenge,Wema ucjali mamy wapotezee

    ReplyDelete
  12. Wema yupo juu mwanzo mlimwandika eti hana ata kitanda leo yupo juu roho zawauma hilo gazeti la FILAMA sijui ni kuwa limekosa mada pia halina jipya ata mkurugenzi wake sijui nani hana jipya wakatafute habari na wasitoe za uongo tumechoka na magazeti ya udaku jamani kazi kuchafua majina ya watu tu waangalie ya kuandika WEMA kaza buti kamwe usirudi nyuma


    ReplyDelete
  13. wema fanya yako dada angu,achana nao,kwan wanataka kuuza 2 magazet yao,haswa waki2pia picha zako na ulivyo mrembo ndo wanaona yanauzika sna,ucwajal hakuna anaekuweka mjin,nakupenda wema

    ReplyDelete
  14. wanaosema una pepo la ngono wanakutakutaka hao hawana lolote,madem zao hawajui kuoga,tena wajipange xanaa,mpaka kukufikia ww,sharo xana dada wema

    ReplyDelete
  15. Acheni ufala wa kumsakama wema matako yenu nyie.

    ReplyDelete

Top Post Ad