google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA DIAMOND MARA BAADA YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU | UDAKU SPECIAL

HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA DIAMOND MARA BAADA YA KUHUDHURIA MAZISHI YA BABA MZAZI WA WEMA SEPETU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ujumbe huo hapo juu unajitosheleza pita ukisoma japo kimya kimya......

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. VJ PENNY UPO?..................UACHE KUFORCE KWENDA SEHEMU ILI UPATE PICHA ZA KUZUSHA INSTAGRAM! HEHEHEEEEIYAAAA..........

    ReplyDelete
  2. Penny kashaachwa na analijua hilo ya nin kulazimisha sema daimond hajalala nyumbani wiki nzima yuko serena je kama anakupenda kweli kwanin asiende serena na wewe ajabu haha hatavwahudumu wa serena walikushangaa juz ulivyoenda kufanya fujo eti unataka jua dai yuko na nan kwa hotel wao wanamjua wema madame sio wewe kinuka mkojo upo hapo bichwa???...Tunda la msimu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tano mdau;)

      Delete
    2. Penny mumuache ni material girl,ata Kwa winchi amumngoi Kwa diamond,kashawaambieni Mali kachuma nae,amuelewi?

      Delete
    3. kha hiyo inaitwa makavu laivu.......,kumbe penny anahaha?alivomchukulia wema diamond alidhania rahaaaaaaaa,tht she's beautyful than her

      Delete
  3. na sehemu ya maziko inahitaji staha c kila sehemu unatakiwa kuvaa hereni mtoto wa kiume

    ReplyDelete
  4. ETI NINI? MALI KACHUMA NAYE?? MMH! I RESERVE MY COMMENTS

    ReplyDelete
  5. Hahaha roho yangu mimiiiiiiiii ivi penis unataka ukataliwe vip ndo uelewe muache mtoto wa watu apumue dawa zimeisha haukupendi faham zishamrudia kuwa moyo wake ni wema kubali tu nyangau wee

    ReplyDelete
  6. muacheni Penny munaacha kufanya yenu kutwa kumsema mtoto wa watu huyo wema matako yake yameshuka chini kama mpira wa makaratasi

    ReplyDelete
  7. ina maana huu ujumbe Di kautuma akimaanisha bi Penny? kama ni kweli basi im happy hapa na Songea! i love Di&We wakiwa pamoja.

    ReplyDelete
  8. Kwakwakwa hayo matako yaliyoshuka ndo yanayompagawisha domo haon hasikii asa na hyo penis na matako yake yaliyosimama kama kapigwa nyege ya matako mbna hatakiwi...hahaha hatumuachi mpk akae mbali na domo na madam,akiacha kuwasumbua na sis tutamuachaaaa......nyokooooooooo

    ReplyDelete
  9. Hahahahahahaha! Penis imekula kwako we change! Wema ndio mtoto bwana! aaaaaaaaaaaalllllllaaaaaaaaaaaaaah!

    ReplyDelete
  10. HAHAAaaa nimeipenda iyo

    ReplyDelete
  11. Wema na diamond 4ever,we penic ulidandia treni kwa mbele bi dada,wema anampenda d 4 real,ww vijicent vya d ndo. Vnakutoa roho nyambaffffffffffff.

    ReplyDelete
  12. Wema alimpenda diamond tangu enzi hizooooo diamond bado anashombo la Mbagala ,Leo diamond kashaini Ana hela ndio penis anaanza ohhooo mavuzi yangu oooho diamond bwana wangu,enzi hizo ananuka Mbagala walaaa usingemtaka.Diamondo wake up my dear penis anakupenda kwasababu fulani........no pure love hapo.wake up bwana mdogo!

    ReplyDelete
  13. uwiii ningekua mie huyo penny naona ningekua nnatembea na ninja nisionekane kwa aibu!!! penny hapo huna chako mama sugua gaga usonge mbele mapenzi kwishnei

    ReplyDelete
  14. kavurugwa huyo penny pcha za bday yuko peku hahahaaaaaa chezea kbut cha mtandaoni ww haroo haro

    ReplyDelete
  15. Waambie na uwakomeshe kukufatilia unakoenda

    ReplyDelete
  16. halooooooooooooooooooooooooow makavuu live...........mr diamond mwachen aleee baata hapo serena na wema wake kah ss hilooo gumegumeee linajitambua au lah>>>>>>>>>>>>>>>>>>yn km dogo kakaaa serena hotel week nzima anangoja nini huyo pencil.kurud kwaoooooooooooooooo...........wema and diamond for ever mie nikisikia wema yupo na diamond natamaniii kuwapa hata chochote wanachotakaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  17. hahahahahaaaa!!!!yani am still nasmile ninavyosoma Comments zenu,mara penny,mara penis,wengine pencil..hahahaaa,nilikua out of mood but Comment zenu zimenirefresh,thx all.....lakini 2seme ukweli2,penny a.k.a Speedo hanogi kuwa na Domo,cz ana sura ngumu sana..hivi ushamit nae wakati hajajipodoa??ni balaa ana sura nzito sana kama uji ea ulezi uliopoa,Wema mama...me nakukubali japo tabia yako ya kuonesha chupi cikubali,enjoi maisha tym ndo hii.

    ReplyDelete
  18. Diamond kuwa makini sana na penny! hali hiyo hujamuoa anadai mmechuma wote mali anakung'ang'ania hataki kuondoka, je ukimuoa sindio atakuua ili apate hizo mali, lakini kusema kweli wema anakupenda kutoka rohoni, umemkosea wema mara ngapi lakini still ameshindwa kukutoa ktk moyo wake, upendo wa kweli hauhesabu mabaya, na wema anaupendo wa kweli kwa diamond anatoa hata alichonacho kwaajili ya diamond na hata cku moja hatujawahi sikia akisema amechuma na diamond, so diamond be carefully penny yuko hapo kwaajili ya mali zako, uwemakini naye na hakufai. inaonyesha ametoka ktk familia ya kimasikini, tena hata wazazi wake tunawashangaa kwanini hawamkanyi mtoto wao, tabia gani hii anayoionyesha, au hana wazazi? maana pia ni aibu kwao, inaonyesha jinsi gani wazazi wa penny walivyoshindwa majukumu ya mtoto wao. hakuna aliyekamilika lakini namsifu sana mama wema, hasiti kumuadabisha wema pale anapoona amepotoka ingawa jamii wakati mwingine haimuelewi lakini kama mzazi ni jukumu la kumrekebisha mtoto wake kwa ni mtoto kwa mama hakui. Diamond achana na penny, yuko kwa ajili ya mali zako, lakini wema yuko kwaajili ya upendo wa dhati. mimi nawaombea Diamond na Wema cku moja wafunge ndoa na wapate watoto, wanaendana, wanavumiliana na wote ni watafutaji. kila la heri MIAKA 1000

    ReplyDelete
  19. Hi Diamond nimefurahi sana niposikia umerudiana na wewe, Wema pole kwa msiba safari ya wote ila kutangulia inauma sana haswa mzazi. Natoka Arusha, nategemea kuja dar November 20. 2013. Naomba sana kuwaona niwapokeze.

    ReplyDelete
  20. Haaaaaaaa hapo kweli kazi ipo.

    ReplyDelete

Top Post Ad