MKE WA MTU ANASWA AKILA URODA NA MUME WA MTU MWINGINE WAKIWA GESTI BUGURUNI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

ILE Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya GPL imeshuhudia mume wa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel Benedict na mke wa mtu aitwaye Rehema ambao wamenaswa laivu wakifanya ‘mambo’ gesti.

Wawili hao walinaswa hivi karibuni kwenye gesti ambayo pia ina baa iitwayo Blue Roze maeneo ya Buguruni-Sokoni jijini Dar wakijiachia kwa raha zao.

Habari zilizopenyezwa katika timu yetu ni kwamba, baa hiyo hutumia vibaya leseni yake ya biashara kwa kugeuza gesti hiyo danguro ambapo machangu hufanya biashara ya kuuza miili yao katika eneo hilo.


Ilielezwa kuwa baa hiyo huwahifadhi machangudoa ndani yake huku biashara ya ngono ikifanyika mchana kweupe na usiku kucha bila kushtukiwa.
KAZI YAANZA

Ikiwa imebeba kauli ya Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kuhusiana na kukomesha biashara ya madanguro jijini, vijana wa OFM walitinga ndani ya baa hiyo kama wateja na kukamilisha uchunguzi wao ambao uliwapa jibu moja tu – biashara ya ngono inafanyika nje nje!

Wakati huohuo, kijana mwingine wa OFM aliingia upande wa gesti iliyopo ndani ya baa hiyo ili kupeleleza bei zake huku mhudumu akiahidi kupunguza bei kwa kuwa alikuwa na changudoa kutoka ndani ya baa hiyo tofauti na wengine waliokuwa wanatoka nje ya eneo hilo.
TAARIFA POLISI

Baada ya kujiridhisha kuwepo kwa hali hiyo, OFM ilitoa taarifa kwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ilala, Lucy Kakulu ambaye haraka alimtaarifu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi ambaye muda mfupi baadaye aliwasili kituoni hapo na kutoa baraka kwa OFM na kushiriki kuwachagua askari shupavu wa kufanya oparesheni hiyo

Ilipotimia usiku wa manane, ndipo zoezi zima lilianza kwa mmoja wa mapaparazi wetu kuingia ndani ya baa hiyo na kupitiliza moja kwa moja hadi ndani ya gesti.

Akiwa ndani, paparazi huyo alifanikiwa kupatana na mmoja na kuingia naye chumbani huku akitoa ishara kuwa kila kitu kilikuwa wazi ni kiasi cha zoezi kufanyika tu.

KAZI IKAANZA
Kufumba na kufumbua askari shupavu wa Kituo cha Polisi  Buguruni, Dar sambamba na timu ya OFM waliingia mzigoni ambapo waliwanasa machangudoa na meneja wao aliyekuwa akizagaa ndani ya gesti hiyo.

Katika pekuapekua hiyo ndipo mume huyo wa mtu akanaswa laivu chumbani na mke wa mtu huku wote wakiomba msamaha kwa kuwa wana familia zao, hoja ambayo haikuwa na nguvu.

KILA MTU ANA NDOA YAKE
Katika kurusharusha miguu, mwanaume huyo alisema anaomba sana ishu hiyo iishie hapo, isifike polisi wala kwenye vyombo vya habari kwani ana ndoa na familia hivyo itakuwa ni aibu kubwa.
“Chondechonde mimi nina ndoa na familia jamani. Sijui nitaweka wapi sura kwa aibu. Naombeni tuyamalize kiutu uzima,” alisikika mwanaume huyo akijitetea kwa polisi, utetezi ambao haukumsaidia. 

Katika mahojiano huku kondom zilizotumika zikiwa zimezagaa kila kona, kwa upande wa mwanamke alikiri kuwa alifanya tendo hilo bila kinga.


“Hatujazitumia sisi hizi, tumezikuta humuhumu chumbani. Lakini nawaombeni sana, msinipeleke polisi nina ndoa yangu. Naombeni mnisamehe kwa sababu mume wangu atanirarua. Ninyi wenyewe mnajua ndoa ilivyo ngumu, tafadhali naomba mnisitiri,” alisikika mwanamke huyo.
SAFARI YA POLISI

Pamoja na kuomba sana, polisi hao waliokuwa makini na kazi yao wakionekana kumuunga mkono vilivyo Kamanda Kova, waliwatilia ngumu na kuamua kuondoka nao wakiwa na pingu mikononi mwao.

Mbali na hao, oparesheni hiyo pia ilimtia nguvuni meneja wa eneo hilo, Emmanuel Mpinge, ambao wote kwa pamoja walifikishwa kituoni na kufunguliwa kesi yenye namba  BUG/RB/13114/2013 - KUFANYA VITENDO VYA UMALAYA 19/10/2013.



CREADIT: GPL


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hivi kwani kisheria kufanya ngono ni kosa au kujiuza ndo kosa?

    ReplyDelete
  2. sio kosa mwezangu nashangaa km wanawaomba hela ya guest

    ReplyDelete
  3. sio kosa mwezangu nashangaa km wanawaomba hela ya guest

    ReplyDelete
  4. hawa jamaa na hiyo operesheni yao ngoja wakutane na manunda ndio watajua maana ya privacy

    ReplyDelete
  5. Chei! Kwani kungonoka siku hizi ni kosa? Jamani lazima kutakuwa na sheria ya haya mambo, utawapigaje watu picha na kuwadhalilisha namna hii!! Eti na mkuu wa police anakuja kushuhudia, badala yakuwapiga picha wa halifu mnawapiga picha watu na starehe zao. Ovyoo, kweli mdau ulivyo sema ngoja siku wakutane namanunda ndio watajua maana ya privacy

    ReplyDelete
  6. Daaaah.......! Hii oparesheni kumbe y kisenge sana,ko wa2 wanajilia uloda n kufarahia mapenzi yao den wanakuja kuinglia n kukamatwa.....! Huu bas usenge. Km kufanya ngono n dhambi watangaze ijulikane bac...,coz huu ujinga kwel,yaan mkubaliano y wa2 wawil waingilie cjui ndo hii Operasheni km cyo ujinga n nn. Achen watu wajilie raha jaman coz wamepewa tundu bure waache watoe bure bt km wanauza bac hayo n makubaliano y wawil datc all.

    ReplyDelete
  7. Shugongo huna cha kufanya kima wewe

    ReplyDelete
  8. Mbona hapa Arusha hawa wamiliki wa Madanguro makubwa hawakamatwi na wanjulikana au ni huko Dar tu ndio kuna sheria?

    ReplyDelete
  9. Lakini hiyo mnavyoona ni sahihi kweli au si kudhalilishana huko! watu wako kwenye starehe zao mnaenda kuwaingilia kwanini msidili na hao wanaoshinda mtaani nusu uchi. Huko ni KUDHALILISHANA kama mtu na mkewe wameamua siku hiyo kwenda kujipongeza Hotel inakuaje?

    ReplyDelete
  10. MNAOONGOZA OFM WOTE NI WASENGE,KWANI NYINYI HAMUWATOMBAGI MACHANGUDOA? AU NDO KUKOSA KAZI YA KUFANYA HUKO GPL? NA HUYO MKURUGENZI WENU NAE AWE ANAANGALIA MAPENDEKEZO YA KUANZISHA OPERESHENI FLANI,SIYO TU KISA ETI ANATAFUTA PESA KWA NGUVU PA,OJA NA UMAARUFU WA KIKUMA NDO ETI AWAUNGE MKONO KWENYE KILA JAMBO MNALOTAKA KULIANZISHA! KWENYE JAMII YETU KUNA MATATIZO KIBAO YANAYOTUKABILI AMBAYO YANATAKIWA KUSHUGHULIKIWA,HIVYO KOMENI NA MKOMAE KAMA MLIVYOKOMA MAZIWA YA MAMA ZENU! KWENDA KUWAPIGA PICHA WAPENZI WAWILI TENA WAKIWA FALAGHA MAANA YAKE NINI? WASHENZI WAKUBWA NYIE NYOOOO!

    ReplyDelete
  11. Me ninacho jua hawa jamaa wanatafuta makahaba wanapanga then wananawapa kazi ya kutafuta waume za watu kwanza wale wa hali za chini ngoja kunasiku mtakutana na mdogo wake mushi wa ofooo saa ro akiwa na bastola yake ndio mtajua !

    ReplyDelete
  12. mambo ya kisenge hayo yani watu wanakula raha zao nyie na ujinga wen huo mtakuja firwa kumamae zenu

    ReplyDelete
  13. Wasenge hawana jipya hao

    ReplyDelete
  14. kumamake zao wakatombane mikundu yao inanuka wanajifanya wanajua sheria c waende ze hegi kuma mbooo na mikundu yao inanuka uvundooooooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad