MR BLUE "INANIUMA SANA NAPOSIKIA WATU WANASEMA NIMEPOTEA KATIKA GAME"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa  hana mpya katika game hilo la music wa kibongo ......Kwa muda sasa Dogo huyu hajatoa wimbo mzuri ambao umewagusa watu na wengine wakileta umbea kwamba ameanza kutumia unga....Anyways ..Dogo we are waiting for u ukishamaliza kusoma mchezo drop us a HIT......


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anaonekana kama teja

    ReplyDelete
  2. Kweli dogo unajinakubwa ktk game, unapoachia ngoma watz wankuwa makn sana ktaka kujua ni kitu gan umefanya,so unapoachia ngoma inatakiwa ilingane na ukubwa wa jina lako, sio unazingua tu,B.O.B watakupoteza wale,,

    ReplyDelete
  3. TATIZO HUYO DOGO ALIKIMBIA SHULE KWENDA KWENYE MUZIKI NA SASA MZIKI UMEMKIMBIA NAMSHAURI ARUDI SHULE AANZE KUSOMA QT...................................Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  4. AU KAMA VIPI ZILE NYIMBO ZAKO ZOTE KAZITOE REMIX.Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  5. Blue tafadhali sana usipake mkorogo vidole vyako vinaharibika,,,kama huwez kuacha bs make sure ukishapaka korogo lako unanawa na sabuni mikono vizuuuri,,,,,

    ReplyDelete
  6. Acha kuchunguza wa2 ww sasa akipaka mkorogo we kinakuchoma nn, post coment yenye kueleweka, PUUMBAAFUUU!!

    ReplyDelete
  7. mr blue umekwisha!kama vipi nanda ukalime nyanya siku hizi ziko na bei xana!

    ReplyDelete
  8. blue kabla ya kupiga hiyo pichu ulipiga punyeto nini naona vidole veupe au macho yangu tu!

    ReplyDelete
  9. Hahaaa hapojuuu Balaaaa alipiga naniu........? Hahaaaaaaaaa!a

    ReplyDelete
  10. Mwacheni mke wangu jamani mbona ivo

    ReplyDelete
  11. byser fundi anajua kibongobongo bonge la msanii.

    ReplyDelete

Top Post Ad