google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html MR BOND "NAWASHANGAA SANA WANAOSEMA NIMEAMBUKIZWA UKIMWI NA AUNTY LULU" | UDAKU SPECIAL

MR BOND "NAWASHANGAA SANA WANAOSEMA NIMEAMBUKIZWA UKIMWI NA AUNTY LULU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


IMEVUJA! Msanii wa filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ alimlazimisha mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Suleiman apime virusi vya Ukimwi kipindi walipokuwa wapenzi.

Akichonga na paparazi wetu, Bond alisema baada ya kulazishwa kwa muda mrefu na Aunty Lulu, kwa mara ya kwanza alijikuta amepima Ukimwi na bahati nzuri walikutwa wako salama.

“Kipindi nikiwa na uhusiano wa kimapenzi na Aunty, alinilazimisha mpaka tukaenda kupima Ukimwi tukajikuta tupo salama ndiyo tukaendelea na mapenzi yetu na tulikuwa na tabia ya kupima mara kwa mara lakini nawashangaa wanaosema nimeambukizwa ngoma,” alisema Bond.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnakosaga vya kuandika humu.

    ReplyDelete
  2. Pole bond ulitoka mza ukaingia dar kwa pupa ukimwi tayari unao anza kula matunda na mboga mboga

    ReplyDelete
  3. mwenzako anatumia dawa huyo cheki alivyojinenepea anza dozi ww utapandisha kench shauriyo

    ReplyDelete
  4. Hta kama unao utasema????????? Kikubwa tulia

    ReplyDelete
  5. Unajipa matumaini,pole sana kama usingekuwa nao ungepotezea.

    ReplyDelete
  6. Majanga kaz ni kwako

    ReplyDelete
  7. hanza kula matunda

    ReplyDelete

Top Post Ad