MSANII CHIPUKIZI WA BONGO MOVIES AFUMWA AKILA URODA NA DIRECTOR WAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida vitendo vya madirectors wengi wa filamu kupenda kuwarubuni wasanii wachanga kuwa kama watatoa uroda basi watapewa nafasi ya kucheza filamu na kuwa mastaa wakubwa imemtokea puania msanii na director maarufu wa bongo movie Edward Nicas Temu maarufu kwa jina la Nicas baada ya kufumaniwa na mchumba wa mtu ambae ni msanii wa kundi lake.

Jina la Nicas ni jina maarufa sana hasa kwa wasanii kufutia huyu mshikaji kuwa kwenye sanaa kitambo akiwa kama msanii na director lakini kipindi kirefu amekuwa akifanya kazi za watu lakini siku za hivi karibuni alianzisha kundi lake huko maeneo ya Kinondoni Moscow na kukusanya makumi ya wasichana kwa ajili ya kucheza filamu zake.
 

Hata hivyo kutokana na wakidada wengi hasa Underground kupenda kuigiza lakini walikuwa wanakosa nafasi hivyo baada ya kusikia matangazo ya msanii huyo basi alijikusanyia warembo wa kila aina na alifanyiwa kuwachezesha filamu zake tatu Bad Father,The Reason,House Girl N Boss.
 

Habari zaidi zilisema kuwa baada ya kumaliza kuwachezesha filamu hizo msanii huyo alianza kumuweka karibu mmoja wa wasanii wake wake ambae ni mke wa mtu anaeishi na mumewe maeneo ya Kawe Jijini Dar.
 


 Kijana mwenye mke aliyevaa tisheti nyekundu mara baada ya kuvamia chumbani na kumkuta mkewe akiliwa uroda na muongozaji filamu,msanii maarufu wa bongo movie aliyefahamika kwa jina la NICAS.
 
 Mume akionesha chupi ya mkewe


 Msanii chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za mapapalazi.
NAUA: Kijana mwenye mke kushoto akimkaba koo director huyo kwenye purukushani ya fumanizi hilo.


 Hapa ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya kuelekea kituoni.




 Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.


 Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.


 NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia tukio hilo.


 Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.





 Mfuko wa kondom uliokutwa umetumiak.


Akiongea na paparazi wetu mume wa mischana huyo Abdula Sanga alianza kuelezea " Nampenda sana mke wangu na ndio maana nilikuwa nimemruhusu akafanye sanaa lakini baadae niliambiwa na shoga yake kuwa kuwa bosi wake anataka kumla uroda ili amuweke kwenye kava ya cd ya filamu yake na kama hatotoa uroda basi hatomuweka" Alisema kijana huyo ambae ni mfanyabishara.

Abdula Sanga aliendelea kusema baada ya hapo alimuomba huyo rafiki na mkewe ampe ushirikiano ikiwa kumuhabarisha hatua kwa hatua ambapo hadi siku ya tukio alitaarifiwa na wapi wanapokwenda kupeana uroda"  Niliandaa askari wangu na tukaweka mtego pale Guest iitwayo Bundo iliyopo Kinondoni Moscow na hatimae mtegowangu ulinasa na kumfuania mke wangu live akiwa na huyo bosi wake wa sanaa" Alisema Sanga kwa jazba.

Aidha habari zilisema Nicas nae ni mume wa mtu, hata hivyo ndani ya chumba hicho kulikutwa na kondomu moja iliyotumika kwa maana kwamba tayari mke huyo alikuwa ameshaliwa kimoja hali iliyoamsha hasira za mume wa mke huyo na kuanza kumvurumushia makonde msanii huyo hadi polisi walipoingilia kati.

Hadi papalazi wetu anaondoka eneo la tukio aliacha wananchi kibao wakishuhudia timbwili hilo huku safari ya kuelekea polisi ikifanyika.
Akionge

credit: Xdeejayz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uyo mwanaume nae anatfta kik mjini hapa, asa kwann hakumkatalia alivojua au ndo ile siamin mpk nione ila inauma pole yake jamaa

    ReplyDelete
  2. Kuchapiwa ni siri ya ndani,kuonyesha chupi ya mkeo aliyevuliwa na mwanaume mwenzio ni udhaifu,hayo mambo unamaliza kimya2. Ilitakiwa avae condom moja amkamue mshikaji,jamaa kagongewa na bado anaonekana mnyongeee

    ReplyDelete
  3. ASILIMI A YA WASANII WA KIKE WANALIWA URODA niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete
  4. Mbele ya pesa mume wa kazi gani? Hapendwi mtu hapa pesa tu.

    ReplyDelete
  5. Olla pole kaka sema nini ilibidi uwafire wote wawili.la pili hilo malaya achana nalo,sabab linaonekana linatabia ya mbwa kuwacha mdomo wazi na tabia ya mtu ni ngozi ya mwili huwezi kuibadili. ndio maana nikakwambia ungewala mavi wote wawili alau ungejifariji kuyatoa hayo mapixha kwenye mitandao nikujidhalilisha au ulikua humsugui shemegi vturi

    ReplyDelete
  6. inamaana hutamrudia mkeo maana umemzalilisha vya kutosha

    ReplyDelete
  7. Amesema eti ni Mchumba wake, SIO mke, lakini si unajua uchumba wa mjini? si mchumba aliyemlipia Mahari, wala kujitambulisha kwake. Ila alimchagua awe hawara yake wa kudumu, na yeye pia alimpata kwa njia hizo hizo.

    Na anajua kuwa hamtaki tena, katika haliya kawaida huwezi kumruhusu Mchumba wako akafanye uigizaji, ila angekuwa MKE angemruhusu kwa Masharti, na kwamba angekuwa ana uzoefu wa kazi hizo.

    lakini njaa hizi tuseme nazo unataka Mwanamke, lakini unataka ule uroda tu, lakini kujitunza ajitunze mwenyewe, hivyo sio rahisi kujali anafanya kazi ipi? Hao wanaume wote Whuni, na mwanamke Mhuni tu.

    Fumanizi ni la kihuni sio la heshima. watu kibao wanazini. lakini hawafanyi hivyo. Nenda kaoe kwa taratibu zinazofaa, uone kama utamruhusu mkeo awe hivyo. DEZO INAUA Kaka. kwani akiwa na jina kwenye Cover inakusaidia nini wewe? kuna na akili kidogo.

    ReplyDelete
  8. Huu unaitwa udhalilishaji! What!! Sasa kapigwa picha matiti namatako nje, umekombolea nini au umefaidika nini! Bongo wanapenda kweli kudhalilishana, sasa kama kweli ulikuwa unampenda kwa nini rafiki yake alipo kwambia tu usimstop mchumba wako kuigiza!?? Umemuacha kenda guest katiwa then ndio unajifanya ulimpenda!! Kila mwanaadam anampungufu jamani si vyema kumfanyia mtoto wa mwenzio hivyo..siungeachana nae tu yaishe kuliko hii aibu mlio jitwika! Ovyoo

    ReplyDelete
  9. Bora Katumia ndomu

    ReplyDelete
  10. Udhalilishaj WA hali ya juu,matako,maziwa yote nje atapita njia gan huyo dada.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeh ! Inasikitisha sana sasa hapo ndio wamejifunza nini? Mimi mwanaume yoyote atakae nidhalilisha hivyo apa duniani basi ahame mji kwababu mimi na yeye tutakuwa maaduwii wa kubwa ugomvi wetu hautoshaga nitamuharibia maisha na mji nitamhamisha! Angalia hizo picha, mpaka machozi yamenitoka! Hibi unalipwa kiasi gani kumdhalilisha mtu kiasi hicho!?

      Delete
  11. Huyu jamaaaaaaaaaa kachapia ana stahili adhabu wote watatu wana makosa aseeee kawachafua naye kajichafuaaaaaaaaaaaa huyu ni demu wake tu sio wife

    ReplyDelete
  12. UDHALILISHAJI WA HALI YA JUU SANA HUU HATA KAMA AMEFANYA YALIYOSEMWA LAKINI MSINGECMHAFUA MDADA WA WATU.

    ReplyDelete
  13. KINA BABA WALIO WENGI WANASAHAU MAJUKUMU YAO,HAWATOMBI KUANZIA JUMATATU MPAKA JUMATATU YA WIKI ILEEEEEEEEEEEEEEEEE VISINGIZIO KIBAOOO MTATOMBEWA WAKE ZENU MPAKA MKOME SIKU HIZI NI JINO KWA JINO. NANI HAPENDI RAHA WEWE? VIMESEJI KWENYE SIMU YA MUME HAVIKAUKI,SIMU INA PASSWORD ZA KUTOSHA,UNAMWACHA NA PASSWORD ZAKE BABU UNAKULA RAHA

    ReplyDelete
  14. DU JAMAA ALISHATOMBA KIMOJA HALAFU UNAENDA FUMANIA HALAFU KWA MBWEMBWE KABISA UNAJITOA KWENYE GAZETI, HANITHI MKUBWA WEEE NDIO MAANA UMETOMBEWA HUYO MKEO!!!

    ReplyDelete
  15. HIVI KADHALILISHWA? AU KAJIDHALILISHA MWENYEWE? HUKO GUEST ALILAZIMISHWA KWENDA? THEN AMEKUTA MWANAUME WAKE MPOLE MWINGINE PANGECHIMBIKA. AIBU YAKE IWE FUNDISHO KWA WENGINE MAANA WAMEZID KUTEMBEA NA MABOSI WAO.

    ReplyDelete
  16. Hivi mnaosema kamdhalilisha mpenzi wake mlitaka alipo ambiwa kuwa dem wake yupo na njemba gest yeye andelee kukaa nyumbani anywe kahawa? Au na nyie mna tabia hizo? Ombeni hii ishu isikutokeee na achen majibu rahis. Wewe uambiwe mpenzi wako yuko gest na mtu ni kweli ungeendelea kukaa tu nyumban bila kuchukua hatua yoyote ya kuthibitisha ukweli wa hiyo ishu? Mwisho wa ubaya siku zote ni aibu tubadilishe tabia zetu otherwise bigup mwandish ulie rusha hii kitu endeleza libeneke wamezidi hawa.

    ReplyDelete
  17. jamaaa kuz kweli Ryan. xa uyo make cjui mchumba atanrudia au ndio kamtema

    ReplyDelete

Top Post Ad