MTAZAME YULE SHABIKI WA YANGA ALIYESEMA ATAJINYONGA YANGA IKIFUNGWA NA SIMBA AKIONGEA BAADA YA MECHI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wengi wanaopenda kusikia kutoka kwa shabiki huyu maarufu, walitaka kusikia atasema nini baada ya mechi ya Yanga na Simba October 20 2013 ambapo Yanga anayoishabikia Steven ilikua inaongoza kwa magoli matatu bila mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika lakini zikarudishwa na Simba zote kipindi cha pili, haya hapa chini ni maoni yake pia vilevile amemtaja mwigizaji wa movie anaempenda Tanzania na ana ujumbe wake….ANGALIA VIDEO HAPA:
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JINGA KABISA WEWE, MPIRA WENYEWE HUUJUI, ETI PENAT PENAT UMEIONA WAPI AU ULIKUWA UNAANGALIA KWA MATAKO BADALA YA MACHO. KWENDA KULE, KASHABIKIE MASHINDANO YA MBIO ZA MBUZI, MPIRA HUUWEZI NYAMBAFU

    ReplyDelete
  2. We mdau hapo juu matako yako, heshimu mtu na hisia zake, ajue mpira asijue inakuhusu nin? mijitu mingine bwana karaha tupu.

    ReplyDelete
  3. kuna watu hawan akili kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad