JE, NI KWELI KUWA HAWA NDO MASTAA WAKIKE WENYE MVUTO ZAIDI BONGO??

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari hizi zimetufikia eti habari ya mjini ni kwamba, hawa ndo wanadada mastaa wenye mvuto zaidi hapa Bongo, Binafsi nahisi kuna wengine wengi ambao walistaili sifa kama vile Jaquiline Wolper, Jokate mwegelo, Irine Uwoya na wengine wengi, ila hayo ni maoni yangu tu Je wewe unaonaje hii list inafaa?



Inasemekana kwamba Wema Sepetu ndio anaongoza kwenye List hii, kwa kweli she is beautiful.

 Lulu Michael ndiye anachukuwa nafasi ya pili

Jaqi Cliff 'Lady Boss wa Bongo' anachukuwa nafasi ya tatu

4 Loveness Love


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. no.4 is not true at allllllll...hell no even we have eyes 2 see..Pls pls..Ana sifa za kuwepo ktk iyo list..
    1. Jack
    2.Lulu
    3.Wema
    Kila mtu ana chaguo lake but this is mine.

    ReplyDelete
  2. Diva hakustahili kuwapo hapo she's nomal nat even hot!!

    ReplyDelete
  3. ukikosaga habar za kueka unatia had huruma

    ReplyDelete
  4. Umechemsha kwa diva.

    ReplyDelete
  5. xaxa diva ana nn,au umemuweka ila adhalilike

    ReplyDelete
  6. i lyk wema na anastahili ila huyo diva mh!

    ReplyDelete
  7. Cynthia masasi kulikoni ?kwa sababu kaolewa na Jambazi muuza unga Richard mziray ndio mmemtupa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau tiririka pls, hii issue umeitoa wapi?

      Delete
  8. Mi sio hata mmoja hapo wote ni vimeo

    ReplyDelete
  9. Mi sioni hata mmoja hapo wote ni vimeo tena vilivyochoka

    ReplyDelete
  10. Wote wamechoka kama simba jike especial wema, huyo wema kajichubua kama chura, wema alikuwa zamani.

    ReplyDelete
  11. malaya wa kibongo tu hao!

    ReplyDelete
  12. malaya wa kibongo tu hao!

    ReplyDelete
  13. wema ndiyo mpango mzima. I love u sepetu forever!!

    ReplyDelete
  14. dada yako je? Mnaikaliya yawenzenu

    ReplyDelete
  15. Mbona cjawaona hao wazuri?

    ReplyDelete
  16. Kuhusu diva umechemsha sanaaaaaaaaaaaaaa,am sure anazidiwa na bek 3 we2

    ReplyDelete
  17. Embu tupia picha yako kama ww ni mzuri tukuone,sura mbayaaa kama diva

    ReplyDelete
  18. DIVA HOVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOWENGINE SWAFI

    ReplyDelete
  19. Diva bichwa kubwa kuzidi mwili tupa kuleeeee

    ReplyDelete
  20. Kwa diva hapana. Yaaani noooooooooo

    ReplyDelete
  21. Dah umetia huruma

    ReplyDelete
  22. NAWAHAKIKISHIA KWA SURA TU LULU NI MZURI KULIKO WEMA. ILA KWA SABABU UZURI WA MWANAMKE SIO SURA BALI NI TABIA, STAR MZURI KULIKO WOTE BONGO NI NDUMBANGWE MISAYO AKA THEA, AKIFUATIWA NA WARIDI, WA TATU NI KATE

    ReplyDelete
  23. kwa diva heri hata wangempa wastsra wa sajuki.

    ReplyDelete
  24. tatizo hapa hawajasema sifa nyingine wabongo kuelewa ni shida mmeambiwa wanawake wenye mvuto na si sifa nyingine mzisemazo humu, mbona wagumu kuelewa mvuto wema hana mpinzani miaka 800

    ReplyDelete
  25. Sasa hapo Diva mmemuweka afanyaje?
    Ngoja niwatajie list ya kweli
    lulu,wolper,fetty,ndauka,lucy komba,uwoya,jokate na wengine wengi ila namewasahau


    LAKIN KWA DIVA UMEKOSEA SAAAANA HAT KWENYE TOP 100 HAWEZ KUWEPO

    ReplyDelete
  26. MMmmh hyo namba 4 hapana me na doubt hapo

    ReplyDelete
  27. 1.Jack
    2.Lulu
    3.Uwoya

    ReplyDelete
  28. HAMNA HATA MMOJA

    ReplyDelete
  29. Wema ana mvuto na nyota kuliko wengine! Jack nshamuona face to face wala sio kama kwenye picha! Lulu naye mzuri but sio kwa standard ya Wema. Kuhusu Diva naona umemuweka kumdhalilisha maana hana mvuto wowote wa ki-star! Wema is something else jamani chuki kando!

    ReplyDelete
  30. uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu,, hao amewaona yy mtoa habari.



    ReplyDelete
  31. uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu,, hao amewaona yy mtoa habari.



    ReplyDelete

Top Post Ad