MWANAMKE ALIYE KATWA MGUU NA MME WAKE KISA KACHELEWA KUMFUNGULIA MLAANGO, NI HUKO TARIME.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ghati Chacha (21) mkazi wa kijiji cha Nyanitira kata ya Nyansincha Wilayani Tarime amesababishiwa kilema cha maisha kwa kukatwa mguu wake wa kulia na Mume wake baada ya kuchelewa kumfungua mlangao nyakati za usiku  na  hivyo  kumfanya  aamini  kuwa  alikuwa  na  mwanaume  mwingine  ndani.

Akisimulia mkasa huo huku  akiwa wodi namba sita alikolazwa akiuuguza vidonda na majeraha,Ghati alisema, mume wake aliye mtaja kwa majina ya Chacha Mwita(23) alifika nyumbani saa mbili usiku akiwa amelewa.
  
"Aliniuliza kwa nini nimechelewa kumfungulia mlango nikamjibu sikuwa nasikia.Akaaza  kunifokea  kwamba  nilikuwa  na  mwanaume  mwingine  ndani , baadaye akaniomba kurunzi na panga, nikamletea kurunzi na kumwonesha panga lilipo kwa kidole" alisema Ghati.


Wakati anamwonesa lilipo panga na kumpa kurunzi Ghati hakujuwa  nini kinafuata , alifikiri  kuwa  ni  mambo ya wanaume tu, pengine anataka kwenda sehemu kwa kuwa ndizo tabia za wanaume wa maeneo haya kuondoka usiku ama anataka kuangalia mji kama uko sawa alafu arudi kulala.
  
" Alipoipata ile panga akaniambia leo atamitumbua utumbo, akaanza kunipiga kwa panga ile akanijeruhi sikio, mkono wa kushoto na mguu wa kushoto na kunikata mguu wa kulia ukakatika kama unavyoona" alieleza kwa masikitiko akiifunua kanga iliyokuwa amejifunika akiwa amelala kitandani hospitali ya Wilaya Tarime.
  
Wakati anafanyiwa ukatili huo alipiga kelele lakini majirani hawakuwahi kufika kumsaidia kwa kuwa ni kawaida ya mume na mke kugombana na vilio kama hivyo kusikika katika maeneo hayo.
  
"Baadaye walikuja na aliposikia majirani wamefika alikimbia kwa kupitia mlango wa nyuma akitumia baisikeli yake, majirani walinifunga mguu uliokuwa ukivuja damu na kunikimbiza katika kituo cha afya Muriba na baadaye kuletwa hapa" alieleza .
  
Jeshi la polisi baada ya kupata taarifa lilifika lilifika eneo hilo la tukio na kushuhudia kipande cha mguu kama inavyoonekana kwenye picha hapa na kuamru kizikwe na juhudi za kumtia nguvuni kuanza.
  

Hata hivyo siku moja  baadaye Chacha Mwita alikamatwa na jeshi la polisi kwa kusaidiana na nguvu za wananchi ambapo alifikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Tarime kujibu mashitaka hayo.

 Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamishina masaidizi wa polisi kanda maalumu ya Tarime (ACP) Justus Kamugisha lisema kuwa baada ya kuhojiwa , Mwiata alikiri kumsababishia mke wake ukilema wa maisha.
  

" Vitendo vya kikatili vilishapitwa na wakati, kumsababishia mtu ukilema wa maisha nii jambo lisilo la utu na linaonesha kuwa hakuna ubinadamu kwa watu japo si wote" alisema Kamugisha kwa nija ya simu

Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. makabila mengine ovyo sana..!

    ReplyDelete
  2. afungwe maisha hy bazazi, unyama gn huo kha!

    ReplyDelete
  3. Ningemtoa pumbu huyo asingenisahau maisha!!

    ReplyDelete
  4. Pole dada,huyo mwanaume ni mnyama,baadaye unadanganywa mnakaa km familia mnalimaliza,usikubali

    ReplyDelete
  5. akija kukumbembeleza mkubalie hk ukifanya mpango wa kumng'oa pua awe toinyo, mfyuuuu, tena na masikio ili apate na yy utamu,

    ReplyDelete
  6. baada ya hapo unammwagia na tindikali kdg ikate damu asivuje sana, unyama unyama,

    ReplyDelete
  7. Pole sana dada! Binaadam wengine wa natakiwa kuwa face out haki! Whatt!!?

    ReplyDelete
  8. dah mura nikhi ubaye mwetuuu

    ReplyDelete
  9. CHEZEA MKURYA?Nakutema muraaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. ana pepo huyo mwanamume pole dadangu mapito hayo

    ReplyDelete
  11. tatzo c kabila hlo n sawa na yalowakuta mwananch global publsh tatzo n tido nyinyiem(ccm)hawamtak ndo hy kijana mwanga kbsa akaombewe

    ReplyDelete
  12. Hawa wananchi walitakiwa wamfeke mboro na hizo Kende zake halafu naye akalazwe hospital kama mwenzake

    ReplyDelete
  13. 2we 2naangalia 2nakoolewa jaman

    ReplyDelete

Top Post Ad