MZEE MAJUTO ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015..MMHH

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari tulizozipata zinasema kuwa gwiji la sanaa za vichekesho nchini, Amri Athumani 'King Majuto' ametangaza kugombea ubunge kwa 2015.

Muigizaji huyu mkongwe mzee Majuto ametangaza  kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.

Majuto  mwenye umri  zaidi ya miaka 60 ametangaza nia yake hiyo alipohojiwa na Clouds, na akadai atagombea kupitia CCM.

Bado tunamtafuta mzee majuto ili aweze kututhibitishia kama habari hizi ni kwa kweli au la na kama ni kweli ana mipango gani na jimbo hilo la Tanga mjini.


Je, kama ni kweli, unahisi ataweza ? Tupe maoni yako

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Iv huwa hampitii habar zenu au maana kichwa cha habari kugombea urais ndan ubunge hamjielewi nyie

    ReplyDelete
  2. Naatuliye mzee apishe vijana au ndio atafuta pesa za tractor aliloliomba kwa raisi JK akiwa kwa interview na mkasi

    ReplyDelete
  3. Huyo mzee anazingua tuu,ili bw.mkubwa ajue n kaada ndan ya chama cha kifsad
    il apate japo trecta analoliomba kla akihojiwa
    lol,cjui ataongea nin bungen
    au ataongeza idad ya wapga usngz tuu

    ReplyDelete
  4. brog hii ya ajabu,kwanini kichwa kinatofautiana na habari ya ndani?badilikeni jamani

    ReplyDelete
  5. ANAWEZA MBONA WACHOVU AKINA VICK KAMATA,G-RWAKATARE WAMOWAMO.

    ReplyDelete
  6. Pumbu zako wewe mwenye blog hii,acha kabisa kutuzingua!

    ReplyDelete
  7. Umri ukiende shida kwani huyu mzee anaongea pumba na nyinyi mnaita habari wote wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad