NAPE AWAPIGA KIJEMBE CHADEMA "UCHAGUZI NDANI YA CHAMA CHA CHADEMA LINI?"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Nimekutana na kijana asub leo wakati natoka mazoezini akaniuliza;

"Kaka Nape mambo vipi? Mie mshabiki kufa wa Chadema lakini sijapata mtu wa kunijibu kwanini Chadema kila wakipanga maandamano wanapanga, Dar,Mwanza, Arusha na nimesikia wanakwenda Mbeya tar. 10. Kwanini hawapangi maandamano anakotoka muasisi wa Chadema Mzee Mtei?!!!"

Nikainama chini nikamuuliza uchaguzi ndani ya chama chenu lini?! Akastuka kidogo, akanambia hivi unatakiwa kuwa mwaka huu kweli!?!! "Mhhh hilo nalo swali! Lakini hivi tukifanya uchaguzi Chama chetu kitapona kweli?! Nadhani bora tusifanya uchaguzi mpaka tutakapokamata dola"! Alisisitiza kijana.


Nikamjibu "BWANA YESU KRISTO ASIFIWE" Says Nape

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana jipya fala huyo. kijhobile huyo

    ReplyDelete
  2. Fisadi mkubwa ww umeishiwa sera umeamua kufanya mikutano na watoto

    ReplyDelete
  3. pole sana mwisho 2015

    ReplyDelete
  4. umezeeka vbaya fisad mkubwa hata mawazo yako yamezeeka chukuen chenu mapema ccm mwisho 2015

    ReplyDelete

Top Post Ad