NAY WA MITEGO"HUU MZIKI UTANITOA ROHO SINA BEEF NA MTU ILA KUNA WATU WANATAKA HATA NIFE LEO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nay wa Mitego anahisi maisha yake yapo hatarini kwa sasa baada ya vitisho kutoka kwa watu mbalimbali kuendelea kumwandama.
Rapper huyo wa Salam Zao, ameshare taarifa hizo kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.

“Huu muziki sasa utanitoa roho..!! sinaga ugomvi na mtu lakini kumbe kuna watu wanachuki serious na wanatamani atanife leo au wanitoe roho..!! Mi nafanya muziki vita yenu juu yangu namuachia mungu#966 mi nafanya kazi nzuri..! Hakuna wakunirudisha nyuma,, logeni niwindeni kwa vyovyote mtafeli 2. Mi siko wakawaida kiivyo itakula kwenu,” aliandika.

Baada ya kauli hiyo Bongo5 ilimtafuta Nay, ambaye alisema kuwa muziki ni sehemu ya maisha yake na wala hataogopa chochote wala kusita kufanya kile anachoona astahili kukifanya.


“Nimeshaona jinsi gani muziki unaniongezea maadui nashangaa hata watu ambao sina ugomvi nao wana chuki na mimi na wapo tayari kunifanya chochote,” aliongeza.

-Bongo5


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo kweli jamaa wanakuwinda kweli ulewako uingie kwenye 18 zao utakiona!

    ReplyDelete
  2. Ila mie binafsi mziki wake naukubali

    ReplyDelete
  3. Honestly simpend Ney yaan ni mchokozi anapenda kwel kuwachokoza. Wenzie kwa maneno machafu.....I hate u Neema

    ReplyDelete
  4. sio ufe leo..unatakiwa ufe sasa hivi..i hate u to death

    ReplyDelete
  5. mm nampenda ney yaani we acha tuu ucye mpenda una yako sura km pilpl baya utafikiri tako la mzee hovyoooooooooooooo!!!

    ReplyDelete
  6. Mashoga wote mnaomchukia Ney mavi nyie mnafilwa kwanza..mbwa nyie

    ReplyDelete
  7. Simpend afu mchafuuuuu demu wako ana kazi mxiiiiii

    ReplyDelete
  8. Msiompenda Ney makuma wote hamjui Mziki shenzi nyie mmezoea wabana pua tuu .

    ReplyDelete
  9. MSIYEMPENDA MZIKI WA NEY KUMANINA ZENU MNAFIRWA NA MIMI

    ReplyDelete

Top Post Ad