google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html NEY WA MITEGO AWEKWA SERO KWA KOSA LA KUTUMIA SARE ZA POLISI | UDAKU SPECIAL

NEY WA MITEGO AWEKWA SERO KWA KOSA LA KUTUMIA SARE ZA POLISI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Ney Wa Mitego ameniambia kuwa hii picha hapo juu tukio hilo limetokea Jana wakati wana shoot video ya wimbo wake Unaofanya vizuri kwa sasa kwenye radio stations ' Salam Zao'.

Ney Wa Mitego Amesema ' Nikweli nilituwa sero jana baada ya raia wasio julikana kuleta fujo eneo la kazi yangu  kwasababu kulikuwa na waigizaji waliokuwa na sare za polisi. Watu hao sijuani nao na walijitambulisha kama askari na kutaka kujua kwanini natumia sare za polisi kwenye video yangu bila kibali. hicho ndio kitu kilichopelekea nikapelekwa polisi. 

Mitego ameendelea kusema kuwa baada ya kukaa sero kwa dakika kama 15 mkuu wa kituo alikuja na kusikiliza tatizo hilo na ndio aliachiwa huru baada ya kutoa maelezo kuhusu tukio hilo na sare hizo kuoneknaA uraiani. 


Ney aliwekwa sero Kwenye kituo cha polisi Urafiki kilichopo Manzese na wiki ijayo video hii itaonekana kwenye vituo vya televison Tanzania


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NYIYE UDAKU SUPESHELI IPO SIKU MUTAAMBIWA NEY NDIYO BABA YENU MZAZI MUTAANDIKA HATA BILA KUTAFI HILITUKIO SIYO LA KWELI NILAKUJIONGEZEYA UMAALUFU

    ReplyDelete
  2. Hao sio polisi wa kweli oneni gwanda sio zenyewe, ney na dem wake wanatafuta umaarufu kwa nguvu siwapend kama nin sura mbovuuuuu...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  3. Huyu naye msenge kweli,kaona watu ni mambulula kiasi gani mpaka tuamini huo ujinga wake,sare zenyewe siyo,bunduki ni toy,,,,,,,,,mmbwa wa mtaani huyu,,,umaarufu hautengenezwi kiivyo kubababako shoga wewe.

    ReplyDelete
  4. Nyie mlioloment hapo juu kweli mamburura,sasa sare za police zikoje? Acheni ushamba nyie, Asiyempenda Nay choko tu wa kitaa

    ReplyDelete
  5. wasenge kwel nyie msiomkubali Ney!

    ReplyDelete
  6. Jamani huyu jamaa Ney mi namkubaki sana ila siwezi pia kukubaliana na uongo kamwe...bila ubishi hebu tizameni hiyo picha vizuri mtajua kabisa sio polisi...then hata kama ni polisi kwani aje kushikwa kwa kunyooshewa silaha tena tatu..kwani ameua?? Au kwani yeye alikuwa wanted anatafutwa? Kwa sheria ya kwetu bongo mtu mwenye kosa la kuvaa sare atakamtwa tena kwa roho safi tu ..na sio kunyooshewa silaha utafikiri Alshabab...namkubali ney ila hapo kachomekea

    ReplyDelete
  7. Umetaja kituo kuwa ni urafiki, je hiyo kesi ni RB namba ngapi?

    ReplyDelete
  8. mgambo hao au walinzi wa kk security eti polisi kwa mtonyo huo mtonyo gani?...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  9. blog hii ni waongo sana hiyo picha mmeitoa kwenye video yake mpya MBONA MNAKUWA MBULULA NYIE UTAFIRI KUMA YA CHANGUDOA HAMUANGALII CHA KUTOA WA KUHAKIKI. KUMA ZENU

    ReplyDelete

Top Post Ad