NYUMBA ZA MCHEZAJI MRISHO NGASA ZANUSURIKA KUCHOMWA MOTO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchezaji wa Yanga Mrisho Ngasa alikuwa amesema kuwa asipofunga goli ama kutoa pasi itakayo zaa goli zidi ya simba mechi ya leo basi angechoma moto nyumba zake tano .....Lakini simesalimika baada ya  kuwa mfungaji wa goli kati ya magoli matatu waliyo pata yanga .......Mechi hiyo simba na yanga walitoka droo ya 3-3


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo sio akili ni matope, angewapa hata maskini

    ReplyDelete
  2. Mambo ya mpira tu hayo, lakini mmesahau kuna wadau wawili walimwambia kila goli atakalofunga atapewa milioni, nakila pasi ya goli atakayotoa atapata laki 5

    ReplyDelete

Top Post Ad