"NILISHAWAHI KUFUNGWA JELA MIEZI 2 KWASABABU YA KUGOMBEA DEMU WA MTU".....DIAMOND PLATINUMZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amewahi kusota lupango ya Keko, Temeke jijini Dar es Salaam kwa miezi miwili kisa kikiwa ni kugombea demu wa mtu. Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, Diamond alisema tukio hilo lilimtokea mwaka 2007 akiwa ‘andagraundi’ wa muziki wa kizazi kipya.
  Diamond aliyasema hayo kufuatia kuulizwa swali na paparazi wetu kwamba, amerudiana na Miss Tanzania 2006 ambaye pi ni staa wa filamu za Bongo, Wema Sepetu. Je, haogopi kufanyiwa kitu mbaya na jamaa wake ambaye ndiye anayemuweka mjini? Msikie Diamond: Mimi simwogopi mtu eti kwa sababu natembea na demu wake. Hakuna anayeweza kunifanya lolote lile, najiamini.
Mwaka elfu mbili na saba niligombea demu na jamaa mmoja pale Tandale (Dar). Matokeo yake jamaa akanikamata na kuniweka Gereza la Keko kwa miezi miwili, nikaachiwa baadaye, kwa hiyo sitishiki,” alisema Diamond.
 Hata hivyo, Diamond hakuweka wazi kwamba baada ya kukamatwa alipelekwa kituo gani cha polisi na mahakama gani alipandishwa kabla ya kupelekwa mahabusu ya Keko.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sa utafirwa had spling za matako zikatike endelea na ustaa mavi.

    ReplyDelete
  2. Hahahaha wema oyeeee....penic tupa kuleeeeeee

    ReplyDelete
  3. Mr. domo naona upo hapa duniani kwa ajili ya mademu labda hiyo ndio jins yako ya kumuomba MUNGU endelea! hukumu ya zambi ni mauti KYANDO

    ReplyDelete
  4. hahahahahahha cheze mapenz wewe

    ReplyDelete
  5. Hawa ndio mastaa wa bongo,vioo kwa jamii,Diamond watu wanaokutizama wajifunze nini kwa hili uliloliongea!pole sana mdogo wangu una hatari,wamedondoshwa na kunyang'anywa uhai mabilionea kwa sababu ya wake za watu,sembuse wewe kapuku,watakunyonyesha mboo cku moja endelea na ulivyo na mdomo,,,,,,,cpati picha achana na mademu za watu

    ReplyDelete
  6. we dogo ni kuma tu. acha usenge si muda utatembea na yule mama yako maana nasikia umedate sana na dada yako fulani unamjua. punguza ushamba

    ReplyDelete
  7. kwani Wema si demu wa Diamond, mnavyosema Wema ana mwanaume anamuweka mjini huo ni upungufu wa fikra chanya juu ya wanawake, alosema mwanamke hawezi simama fresh bila mwanaume wa kumhonga ni nani??? how far sure are u that Wema hela zake anahongwa???? kwamba ni lazima ana mpenzi ndo maana yuko fresh hivyo kifedha???? acheni umbulula, kuna very independent and powerful women in this country, Wema ni mmoja wao dont get twisted! Alafu mnadhani kuwa yeye Wema haoni hatari kuwa na Diamond kama ana mwanaume mwingine? Kila anachofanya Wema ni news so she cannot hide her life style , nasema hivyo kumaanisha kuwa ingekuwa kweli ana mwanaume lazima tungeshamjua kwa ajili ya umaarufu wake! Na muwaache Wema & Diamond walale. I LOVE U WEMA AND DIAMOND TOGETHER U MAKE AN AMAZING COUPLE!

    ReplyDelete
  8. msenge mwingine huyo..mnaharibu wenzenu. amazing.....u r mor thn mburula

    ReplyDelete
  9. Dogo naona dunia yako bila demu haijakamilika kila kitu kwako mademu tu!! Unajisifia kufungwa kisa demu tena wa mtu !!!?? Sasa subiri kufungwa kisa kuiba mashairi ya nyimbo za watu idiots

    ReplyDelete
  10. Khaaa...banadamu banamambo!! yaan kisa diamond superster ndo ukae maisha yako uyafanye kumuiga yeye!! kisa! kioo cha jamii ...kuma nina zako!! siku ya mwisho utaukumiwa na uyo daimond??? daimond kafanya yake na ww fanya yako!! TEAM WEMA WA SEPETUNGAAAA!!! PENINSULA CHALIIIIIIIIIIIIIII!!! UTAMUJE!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad