AMINI AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU PENZI NA LINAH

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji kutoka THT Amini ameelezea pengo liloachwa moyoni mwake na aliyekuwa mpenzi wake ‘Linah’, pengo ambalo kwa mujibu wake aliyechukua nafasi hiyo ameshindwa kuliziba.

Mwimbaji huyo ameyatoa yake ya moyoni kupitia Instagram na kuonesha kuwa bado anamhitaji Linah kwa kuwa ndiye mtu aliyekuwa anampa furaha na kwamba hakuwahi kumkosea.


“Wakati kama huu ukifka uwa namuwaza sana uyu wa pembeni kiukweli ni mtu ambea aliweza kunipa furaha akuwahi nikosea alifnya ninachokitka ila nilipo sasa mmmmmh boko miss uuuuu linah kwani nini si nini tu.”

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thats a true nigga speakin wat he feels..,sio wengine mpaka waende sijui china mara sijui hoteli ya nyota tano (5 STAR) kila mtu ana uhuru wa kufanya akitakae.Pamoja bro

    ReplyDelete
  2. Aah wapi..! Wote vicheche tu watu washaitwa wasanii unategemea nini tena?

    ReplyDelete
  3. jamani jamani jamani????!!!! eti mm nimependwa na changu nifanyaje jamani?.......

    ReplyDelete
  4. Daaaaaah mmi na mtoto jocate yaan tangu anibwage mitikx hazisomek kabisa..

    ReplyDelete
  5. uache kumchapa mabao mwenzako

    ReplyDelete

Top Post Ad