WARAKA WA PAPII KOCHA KWA RAIS WAZAA MATUNDA WAPEWA NAFASI NYINGINE KUJITETEA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Na Mwandishi Wetu

KITENDO cha Mahakama ya Rufaa kukubali kusikiliza marejeo ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kimetafsiriwa kuwa ni kama wamepata nafasi ya mwisho ya kuweza kujinasua.

WARAKA WA PAPII KOCHA
Mahakama hiyo ilikubali ombi hilo hivi karibuni na kueleza kuwa marejeo hayo yanatarajiwa kusikilizwa Oktoba 30, mwaka huu ikiwa ni miezi kadhaa baada ya Papii Kocha kutuma waraka wa kuomba msamaha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ndiye aliyekubali kuufikisha kwa JK hivyo kuna madai kuwa huenda waraka huo ndiyo umezaa matunda.

WARAKA UMEZAA MATUNDA?
“Unajua ule waraka ulikuwa na maneno ya kuumiza sana. Inawezekana kabisa kuwa ulimfikia JK akaagiza suala hilo liangaliwe upya. Haina maana kuwa JK anaingilia sheria. Nadhani wanasheria wana vipengele vingi ambavyo vinaruhusu marejeo ya rufaa hiyo. Kilichopo hapa ni namna ya kuzitafsiri sheria kisha kuona kama rufaa hiyo inaweza kusikilizwa.

“Ninachojua ni kwamba Babu Seya na Papii Kocha wamepata nafasi ya mwisho ya kuweza kujinasua kwa sababu hata wakili wao (Mabere Marando) yupo vizuri katika kuwatetea wateja wake.

MUNGU ANAWEZA
“Mimi naamini Mungu anaweza yote hivyo tuwaombee rufaa yao iende vizuri,” alisema mmoja wa ndugu wa familia ya Nguza.
Awali mwaka 2004, baada ya kukutwa na hatia katika kesi iliyowahusisha na ubakaji wa watoto kumi wa Shule ya Msingi, Mashujaa iliyopo Sinza, Dar, Babu Seya, Papii Kocha na wakili wao Marando waliomba marejeo ya hukumu hiyo.

JOPO LA MAJAJI
Marejeo hayo yanatarajiwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo ambao ni Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk na Salum Massati. 

Katika hukumu hiyo iliyotolewa Februari 2010, mahakama hiyo iliridhia hukumu ya kifungo cha maisha kwa Babu Seya na Papii Kocha huku ikiwaachia huru watoto wawili wa Babu Seya, Nguza Mbangu na Francis Nguza.

WATIWA HATIANI
Juni 25, 2004 Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar, iliwatia hatiani Babu Seya na wanaye hao kwa kupatikana na hatia ya kubaka na kulawiti.
Januari 27, mwaka 2005, Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Thomas Mihayo alitupilia mbali rufaa yao iliyokuwa ikipinga hukumu iliyotolewa na aliyekuwa Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Addy Lyamuya ambaye aliwatia hatiani kwa makosa yote waliyokuwa wameshitakiwa nayo Juni 25, mwaka 2004.

Babu Seya na wanawe walidaiwa kutenda makosa 10 ya kubaka watoto wenye umri kati ya miaka sita na minane na makosa mengine 11 ya kulawiti watoto wa kike wenye umri huohuo kati ya Aprili na Oktoba 2003.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mfiraji haachagi tabia hio. woote wanaombea huyu jamaa na mwanawe watoke jela ama jawana watoto au hawajui machungu ya mtoto wake kufirwa. ushahidi kwa mtoto haufundishiki hawezi kukariri. hawa ni wazinifu, mnawaombeaa kwa Mungu watoke. Mi nawaombea watoto wenu wafirwe ndio mtatia akili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unauhakika kama waliwafira hao watoto au unaropoka tu! Fikiria kabla yakuropoka sometimes, wangekuwa wafiraji au walio tenda hilo kosa unafikiri Rais angewapa nafasi nyingine!? Sio kila anae kwenda jela anahatia! So shishii sometimes kama huna uhakika na unalo taka kusema. SMH!

      Mungu baba waonee huruma waja wako na wewe pekee ndio unauona ukweli wa wa kesi inao wakabili wanao! Mungu awasimamie Papii na mzee Nguza. Ameen!

      Delete
    2. Mimi nakuunga mkono mdau, kama daktari alithibitisha na watoto walikiri kufanyiwa hvyo wanastahili.barua ndo nini shenz type, wanawake chungu nzima mnaenda haribia watot maisha yao.mm nawaombea muendelee kukaa gerezani

      Delete
    3. Ckiliza ww BWABWA! U know wat?u'r not a man!! Since wakufire wajanja wako u bitch unajishtukia tu kujibadilisha badilsha ww tumeshajushtukia ni anony 6:11 napia ni uliecoment mwanzo!! Umeona no one anaekusapot so unatutolea povu tu humu!? Hakuna #TEA WAFIRWAJI# Humu!!! Mamayo zako poteaaaaaaaa

      Delete
  2. Mmmh km umepanik hivi? Hope umeshawahi kufirwa ww na wanao!! Coz unaonyesha daway unavyofil maumivu!?unauhakika walitenda hilo kosa? Mkundu wako mpana usio na saiz ya mboo!!hayo machungu yako mpelekee basha wako rudia tena kusema hovyo MFIRWAJI WW...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mdau kwa kuzodowa maana nauna kadandia treni kwa mbele hana analo lijua! Ameropoka utafikiri anaushahidi, Africa kunauonevu sana kwa wanyonge!!

      Delete
    2. Anonymous 5:56 am achana na matusi yasiyokuwa na maana. Kila mtu ana haki na kutoa hoja zake. Mimi nataka kukuuliza wewe hujawahi kutembea na mtoto ambaye umri wake haulingani na wewe? Next time ukifungua huo mdomo wako utajikuta pabaya.

      Delete
    3. Sure mdau watu kibao jela hawana hatia ss hilo SENGE hapo juu sijui hata linatokea wapi!?? Yani km linaakili lirudie tena! MI NAWAOMBEA KHERI MAHAKAMA IANGALIE KWA KINA NA ITENDE HAKI ILI WARUDI URAIANI.. TUNAWAMIC SN ?!?

      Delete
    4. Ckiliza ww anony 6:11,kila mtu anahaki yakutoa maoni.nikuulize yule msenge wa kwanza ana haki yakuhukumu kuwa walitenda kosa???anaushahidi gani yy kama yy?? Ni mmoja tu kati ya waliowahi kufirwa huyo mamae zake.. Afu mi cjawah ku do nawatoto wadogo xcuz me!

      Delete
    5. Yes anony 6:11 twambie kama kunamtu anaweza kutoa maoni na kuhukumu kitu asichokuwa na ushahidi au uhakika nacho!? Au aliwashudi wakifanya huo unyama?? Fikirieni before kuwahukumu watu, Africa hakuna sheria kama huna pesa au kujuwana na mtu mkubwa. .na walio jela wengi hawana hatia kwa taarifa yako. .so chup kare !

      Delete
    6. MAONI YANGU ANONY 6:11 NA HUYO ALIECOMENT MWANZO NAHISI WAMEVIRUGWA KM VP WAPOTEZEENI.MI NAWAOMBEA MAFANIKIO PAPII NA BABA YAKE.

      Delete
    7. Mdau anomy 6.12 acha kutukana, watu wanashindana kwa hoja sio matusi,kama hujaenda shule samahani.Umesema watu kibao wako jela hawana hatia...kama ulijua hawana hatia kwanin hukuenda kutoa ushahidi wa kuzuia wasifungwe?acheni maneno ya mtaani ongeeni facts

      Delete
    8. Dah utanifanya nijifunze kufira mamayo nije nikufire ww naukoo wako wooote!!!! Mmmmh naweza kukubaliana naww inaonekana unauhakika walitenda kosa COZ WW NI MMOJA KATI YA WATOTO WALIOTOA USHAHIDI ETI WAMEFIRWA.Km sio kweli why unainsist wanamakosa??? Unatutia shaka na hupat basha humu..

      Delete
    9. Hahahahaaaaaaaaaaaaaa kwikwikwiiiiiiiiiii!!! Mdau unavisaaa dah km vp napita tu washkaji!!

      Delete
    10. Anonymous 6:11 family ya Nguza ilisha kufira? Nauliza kiroho saaaaf! Mashahidi wanaweza nunuliwa tutolee uduanzi jamaa unakomaa kuhukumu watu km unaukakika? Mungu awasaidie ktk last chance mlopewa.

      Delete
  3. God bless them.

    ReplyDelete
  4. Usimhukumu mtu kama huna ushahidi,coz maneno yako yanaweza kukufunga!acha sheria ifuate mkondo nasiyo kushabikia,angekuwa mwanao au mzazi wako ungesema waache wafungwe?kamajela pazuri mpeleke mwanao au mama yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah hata mie sikumpenda mdau wa kwanza!

      Delete
  5. Ushzhidi wa mtoto mdogo niushahidi wa malaika,haupingiki ,nawashangaa wanafiki wsnaowatetea au kuwaonea huruma mabasha hawa.Siku wewe utafilwa au mwanao kuliwa tigo ndio uta tia akili mnafiki wewe¡

    ReplyDelete
  6. akuuuuuuuuuuuuuuuu mi simo mi nataka buludani tu zao awa jamaa mic sanaaaaaaa tu

    ReplyDelete
  7. Mungu awajalie wtke ,mbna kuna watu wanabaki na kufila wtto awafungwi kifngo cha maisha!wadau jiulzen kuna nn ktkk hpo

    ReplyDelete
  8. Hawa wamefungwa na mtu mkubwa serikalini hawakutenda makosa haya. Kuna kitu wamemfanyia mtu mkubwa serikalini. Kisifichwe kitu. Nimeyasikia kwa watu waliokuwa karibu yao. Hawakutenda makosa waliofungiwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Salim hayo ni maneno ya vijiweni, hebu tupe ushahdi

      Delete
    2. Supreme court siku zote ndio inayotoa haki,wana deal na uhalisia na sio blabla na rushwa kama mahakama za kati,ndio maana unaona kesi kama ya Lema mahakama ilisema anyang'anywe ubunge,lakini walivyo appeal mahakama kuu ikamrejeshea ubunge.Sio huyo ipo mifano mingi.Huyu jamaa kuna mawili kutoka au kuendelea na nondo

      Delete
  9. mdau wakwanza hapo juuu naona una machungu sana hawa jamaa nakumbuka walikuf!/# kwahiyo unaonba wafungwe wasije kukuharibu ukashindwa ht kuchuchumaa chezea koki wewe some time usiwe unaropoka shenzy

    ReplyDelete
  10. Sio Rais anaetoa nafasi hyo,ni sheria imewapa nafasi yakitu kinaitwa REVIEW.Hapo ni judges wanajaribu kujikosoa na normally the chances ar very very THIN.Kinacho amua hatma yao ni sheria,hayo maneno ya kuna mkubwa walimkosea au walisingiziwa hayana mashiko.watoto wa miaka tisa kutoa ushahidi for 3 hrs,na wakahojiwa nakujibu na wakili wasomi it wasnt a joke.Bt all in all mahakama ndio itaamua na kama hawakutenda Mungu atawatetea.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeongea point bila shaka wewe ni mwanasheria

      Delete
  11. Wale wote ambao wameshawahi kuliwa nyuma hawajifichi,utawagundua kwa namna wanavyowatetea wafiraji kina babu seya anavyotiwa kibano.

    ReplyDelete

Top Post Ad