PICHA YA JOKATE YAMPONZA LULU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mwandishi Wetu

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amejikuta akiambulia maneno makali kutoka kwa mashabiki baada ya kuposti picha ya Jokate na kumsifia katika mtandao wa Instagram.

Lulu aliiposti picha hiyo kwa nia njema kabisa ambapo kuonesha kuwa anamkubali Kidoti, alimwagia sifa kuwa ana uzuri wa ziada ndipo wafuasi wa mtandao huo walipotema mbovumbovu.


“Anampiga vijembe Wema huyu, mtoto mswazi sana huyu…mnafiki huyu mimi nishamjua hanipi shida siku hizi,” walichangia wadau tofauti mtandaoni.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aende zake huko@jaman nani anaumjua leonard shayo@kibela na wengne details plz

    ReplyDelete
  2. malaya huyu mtoto anamtaka davido sasa tunamuinsta message davido kuwa ulimuua kanumba akae mbali na wewe

    ReplyDelete
  3. sikuhiz anajipendekeza kwa wema wala wema hana muda kamjua mnafik mno huyu emolo

    ReplyDelete
  4. kwa hiyo haitakiw msanii yoyote amsifie JOKATE achen hizo nyiee, huo ni mtazamo wake ana haki yakumpenda yoyote anaeona anamvutia

    ReplyDelete
  5. Mwacheni 'Lulu' asifie kile anachoamini kuwa ni kizuri kwake. Mlitaka awasifie nyie!? Kwalipi!? Acheni hizo

    ReplyDelete
  6. Akimsfia jokate ina mana ndo anamponda wema! Kwa lp hasa??? Hata km anamsifia jokate kw ajil ya ya kumponda m2 fulan and why ufikirie kua anayepondwa ni wema??? Celeb ni wema 2? Ebu wa2totelee majasho ya kwapa hapa.

    ReplyDelete

Top Post Ad