PICHA:MASKINI UFOO SARO AFANYIWA UPASUAJI WA KUONDOLEWA RISASI MWILINI APELEKWA WODI 12 YA KIBASILA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
 Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro,  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake  Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.
 Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.
 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani inasikitisha sana

    ReplyDelete
  2. Ufoo Saro,Mungu atakulinda,'amtumainie Mungu atakuwa imara kama mlima Sayuni'

    ReplyDelete
  3. mshahara wa dhambi ni mauti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yah! hapo ndo ajue kwamba kuna watu wana hasira kwenye mapenz hawataki masihara!
      Lazma watakua walimzingua mchiz ndo mana aka amua kuchukua maamuz magum kias kile!
      R.I.P WOTE

      Delete
  4. hakuna k2 kibaya km kuplay na hisia za mtu...!

    ReplyDelete
  5. Sure hisia za mtu ni hatari sana dnt play wit them

    ReplyDelete
  6. pole sana dada mungu akulinde na akutie nguvu.

    ReplyDelete
  7. jamani hata kama huyu dada alikosea hii adhabu ni ya kikatili sana. tujifunze kuwa na uvumilivu. na siku ozte ukichukia sana jaribu kakaa mbali na aliyekuudhi maana saa nyingine hasira hasara na madhara huwa ni makubwa. jamani hadi inasikitisha kuangalia hizi picha yaan huyu dada vile ameshakata duniani kwa jinsi alivyolala. jamani mungu akujalie uponyaji wa haraka na upate nguvu ya kuweza kusamehe haya yote yaliyokufika maana haukustahili hii adhabu. RIP mushi na RIP mama Ufoo mungu ndiye anayehukumu sisi haturuhusiwa kuhukumu. yaliyotokea wanayajua wenyewe marehemu na huyu muhanga wa hili tukio mungu awape rehema na faraja wafiwa wa pande zote mbili.

    ReplyDelete
  8. mungu atakusaidia utapona huyu dada why amuingize mama mzazi kwenye bifu lake aseee aku tenda fair ila mungu baba amsameheee

    ReplyDelete
    Replies
    1. tumuombee uzima na akipona aseme tu ukweli wa tukio lenyewe halisi,ila hali halisi inajieleza am sure angefanyiwa mbongo movie humu matuc yangejaa,so wadada 2we makini sana KUMPOTEZEA MUDA M2 na KUCHEZA NA MOYO WAKE NI HATARI SANA TUJIFUNZE.

      Delete
  9. Namuunga mkono aliyesema kaa mbali / kata mawasiliano na aliyekuudhi / mliyegombana inaweza kusaidia kuepusha zahama.

    ReplyDelete
  10. Uncle samy singida. Ungovi wa wawili ni mugumu sana kupata sos ni nn wao ndo wanajua kw7bb hta kama OFOSARO atapona hawezi sema ukwel wa jambo hyo ni cri yake, kw ufup 2 makwazo haya budi kuja ila hekima iwepo kuzuia jazba pia na wadada we2 mnapokuwa na wapenz wenu jaribun kuweka heshima co m2 anaku2nza anakughalimikia unamwonyesha dharau matokeo ndo kete ya hacra inazaa ma2nda, co Ofosaro kampotezea maisha mamake yamkini kwa raha zake

    ReplyDelete
  11. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  12. Ofosaro minahisi hakutulia na mama yake nahisi alikuwa anajua chanzo

    ReplyDelete

Top Post Ad