Q-CHILA "NIMEOTESHWA NDOTO YA USHINDI KUWA PAPII KOCHA ATARUDI URAIANI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji wa Beautiful, Q-Chilla amesema ameota ndoto kuwa Papii Kocha na baba yake Nguza Viking aka Babu Seya wataachiwa huru.

Leo, Jumatano, jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania limeipitia upya hukumu yao.

“Nimeota ndoto ya ushindi, nimemuona Papii Kocha Sinza anakatiza barabara. Naotaga mara chache sana na huwa vitu vinatokea. Iko wazi kaka yangu anarudi uraiani. Nimemuona, welcome home, dunia ilikumiss, vita imekwisha,” Q-Chilla ameimbia Bongo5.

“Let the world know that the beloved kid is coming home.”

Katika rufaa hiyo leo wakili wa Babu Seya na Papii Kocha ameiomba mahakama hiyo ifute ushahidi na waachiwe huru lakini serikali imepinga. Kutokana na hatua hiyo, leo mahakama ya rufaa haijafanya uamuzi wowote imewapiga kalenda.

Nguza Viking na Papii Kocha wanatumikia kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto wadogo wa shule ya msingi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani uonevu utaisha lini Africa! Mnamfunga mtu miaka kumi bila kosa!!?? Muogopeni Mungu jamani dunia tunapita hii

    ReplyDelete
  2. jamani mungu ni mkubwa hakuna wa kushindana na mungu ameni mungu ndo anajua na ukweli watu tumewamisi hao watu waje uraiani

    ReplyDelete

  3. mungu nimkubwa jamani haleluya

    ReplyDelete
  4. watatoka insha allah

    ReplyDelete
  5. daima haki ipo tu wabaya ipo siku wataumbuka mbele ya haki

    ReplyDelete
  6. ATATOKA TU PAPI KOCHA MUNGU YU NASI

    ReplyDelete
  7. Ndoto zake@Q zitazaa matundo. Mungu awajaarie.

    ReplyDelete
  8. mamae we Q CHFUU sijui CHILA...Bandugu mnataftaga kiki kwa nguvu eehh!! kesi ilivyokaa tu inajionyesha kua watatoka ..sasa leo chila kaoteshwa!!! mxuuuuuuuu!!! ili tujue kua bado upo ama!!! okey..mm pia nimeotesha kua Q-CHIF umekwisha kisaniii..tym yako ndo basi tenaa!!! heheheheeeheyaaaaaaaaa... team WEMA SEPETU

    ReplyDelete
  9. naunga mkono hoja ya ndugu yangu hapo juu..

    ReplyDelete

Top Post Ad