SABABU ZA UKIMYA WA MWANAMUZIKI NAKAYA ZAJULIKANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa aliyekuwa Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari,Nakaaya Sumari amepost picha mbalimbali mtandaoni akiwa na ujauzito ambao unaonyesha atajifungua muda wowote kutokana na ukubwa wake... mcheki hapa.. 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ansate kwa ukimya wako nadhani hayo ndo matunda yake tunakusubili uludi kwenye game

    ReplyDelete
  2. Usimbane mtoto au ndo uzungu?

    ReplyDelete
  3. hiyo ndio dawa mimba inamtuliza mwanamke katulia mwenyewe anachezea simu lol....subili uzae mama

    ReplyDelete
  4. Kwan akichezea cm , kuna shida kwan mtu mwenye mimba akichezea cm , mimba inatoka, acha kuponda , kubeba mimba ni maamuz, na cyo kwamba mtu ndiyo anatulia. Acha kutema chafu kwa mtu ambae hastahili.

    ReplyDelete
  5. mijitu mingine sijui inakosa kitu cha kucomment? sasa mimba na cm wapi na wapi? chefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Tunakusubiri kwa hamu wanachadema wenzako peoples power!

    ReplyDelete

Top Post Ad