SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND UNAOITWA KIFO CHANGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamziki namba 1 kwa kupiga show hapa Tanzania Diamond Platnumz hivi karibuni alitoa maneno akizungumza siku akifa itakuwawaje kitu ambacho kilizua maswali mengi sana kwa mashabiki wake ambao hawakutegemea hata siku moja kama atakuja kusema maneno kama hayo kwa mashabiki wake kwani yalizua mining'ono mingi sana. Katika kusema hayo maneno Diamond alisema ni moja kati ya nyimbo ambayo ameiandika na inamtoa machozi kia aisikapo.

Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:

Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..?? 
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??


Kwa mara ya kwanza pata kuisikiliza na kudownload nyimbo hiyo yenye maneno ya kuudhunisha kutoka kwa Diamond

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa wabana pua bana, diamond graph yako inashuka sasa

    ReplyDelete
  2. Unatafuta attention nyoko,wewe ull never be like kanumba shenzi

    ReplyDelete
  3. Kifo kina kutafuta ngoja kinakufuata

    ReplyDelete

Top Post Ad