SIRI IMEFICHUKA.TAZAMA PICHA ZA WEMA NA DIAMOND WALIPOKUWA MALAYSIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.

Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…

Nimepata shida kidogo kuamini hii habari na picha coz nimeitoa kwenye blog ingine ikanibidi nichimbe kidogo ili nione kama ni kweli manake nilihisi hizo picha ni za zamani wakiwa na wema....nimetafuta picha ingine ya diamond ambayo alipiga juzi juzi wakati haya maneno yakiongelewa na kuziowanisha ..na nimegundua mtindo wa nywele ni ule ule kwa picha zote ona hii picha chini alafu fananisha na picha za juu....Au ndio wanacheza Movie??

Picha akiwa na Penny baada ya kutoka Malaysia....

Toa maoni yako mdau

Source:Uswazi Blog

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

78 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SASA TUMEELEWANA SASA USHA COPY MIM WAKO MDAU KITAMBO SANA ALL LOVE FROM NORGE

    ReplyDelete
  2. Sema ulikuwa unaedit habar kutoka kwenye blog ingine bwana ila hichi kibibi kipennis kitakoma na lemba lake eti tuwache tulale hovyooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahhahahahaaahhahahahaha

      Delete
  3. Habari ndio hiyo pencill...atajijua mumependezana nd i love this .

    ReplyDelete
  4. Yaani furaha niliyonayo juu ya mtoto wa Sepetunga sina budi kuwahi liquor store nikanunue moscato zangu mbili nije nichome nyama na nitengeneze guacamole na vitafunwa niburudike mie cheers to gorgeous Wema Penseli inazidi kuvunjika anachonga karibia inakwisha hahaaaaa bloody fool in bedui's voice

    ReplyDelete
  5. ha ha ha mdau wa juu umenifurahisha eti penseli inazid kuisha ha ha ha in wema voice

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenzangu yani we acha tu Penseli inachongwa kila kukicha inazidi kujiishia sasa na mdau alieipa jina la bibi yaga ndo kidogo aniue nimecheka hadi nikapaliwa na wine karibuni tusherekee sie cheers guys I wish I could post you both a glass of wine and some good steak

      Delete
  6. Harambeeeee wadau tufanye tumrudishe wema Kwa diamond wake,penny ananuka kikwapa.

    ReplyDelete
  7. Diamond kataa ukubali bado unamzimikia Wema. ol in ol bradha yaani u luk gud with Wema than hako ka bibi yaga.Penseli what goes around comes around stay tuned.......

    ReplyDelete
  8. kalivyo kabishi hakataweza hata Kuelewa kinachoendelea hapa town na ataishia kufunga milemba 2

    ReplyDelete
  9. Hiyo picha moja diamond anamkiss wema huku ukuni wake umesimama kinoma ndani ya trouser yake tayari kwa mkesha wa kugawana virus!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwenda zako Huko,unamtaka dimondo unazuga tu.la mkosaji Hilo .

      Delete
  10. Wema oyeeeeeeeee,huyo bwana ni wako penseli alikupokonya tu.jichukulie bwana wako.

    ReplyDelete
  11. Welaaaa welaaaa team wema forever ww penis kuja hukuuuuuuuuu ona watu walivypendezana sio ww pimbi unaona hodari kuchukua wanaume za watu haya bb kaz kwako na suspender zako

    ReplyDelete
  12. tena diamond ana busu huku akiwa na hisia co hvyo vpicha mbuzi vya huyo kibiriti ngoma penseli hata hana hisia

    ReplyDelete
  13. Mabata madogo madogo yanaogelea katk shamba zur ya bustaniiiiii yanapensa kulia peni peni peni pen ktk shamba zur la bustaniiiiiiiii,kuku kapanda baiskel bata kavaa laizoniiiiiiii,umeiba bwama wa mwenzio utajibeba leoooooooooooo mamae usingiz hamna leo,hyo inaitwa akufukuzae hakuambiii tokaaaaaaaa pole penny kwa kujichoresha shougerrrr

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haha mdau umenikumbusha mbali huo wimbo kaka zangu wakitoka kulewa wakirudi nyumbani full kuuimba ila wapi peny kumamako ukimrudia diamond shem wetu tunakumwagia tindikali pole wolper na lulu mmeumbuka mikundu nyie wasagaji wakubwa kuma chafu nyie

      Delete
  14. Tofautisha hyo kiss na yako ya bday hhwheheiyaaaa na maua yako ya kitandan km unafuga nyuki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weraaaaaaaaaaaaaaaa mupe mupe mipeeeeeeee..!!! Mwanamke hajiuliz kulikon hapendwi na watu wote penseliiiiii wapi kichongeoooooo u'r finishd umebakia ufutio hahahahaaaaaa

      Delete
  15. WEMA NDO WA UKWELI

    ReplyDelete
  16. Waite wapambe wako wakusaidie kubembeleza,dimondo karud kwa mwenyew we ulikuwa jambazi tuuuuu

    ReplyDelete
  17. Yani wema na diamond hakuna kulazimisha... Ts all natural.. Wanapendana sana... Sio za "pichaa pichaaaa" hapo unaona kabisa diamond waz longing for dat kis abd he wanted a picture.. Bila kulazimishwa.. Thez two have all they need.. Chemistry, biology, physics... Uwiiiiiiiiihhhh no penmond no more.. Ts "WEMOND"... Hatareee sana

    ReplyDelete
  18. Furaha nnyonayo mpk kulala nashindwa naishia kulewa tu hapa mieeeeeeee

    ReplyDelete
  19. Mtoto kakumbatiwa kwa kiunooooooo kwako kajiekea mikono mwenyewe na ndo ukomage cz tulikutahadhalisha tangu mapemaaaaaaaa ukajifanya pepe usiekuwa na maskioooooo

    ReplyDelete
  20. Yes kiss ya b'day Alvaro ingetakiwa iwe na mahaba mazito ndo utadhani ya kuact kwenye movie halafu hii tunayoambiwa ndo ya movie naona na kuni juu tayari kupigwa kiberiti sasa tushike lipi?!!?! Hebu niongeze kinywaji mie hahaaaaaa

    ReplyDelete
  21. Hyo pic ya pen kam vile dimondo alikuwa anasema unanchosha mie na mimate yako hyoooo nshapewa mate yalioenda shule na ma no oneee an onlyyyy sepetu wa sepetungaaa,unanukisha kikwapa mie rais wa wasafi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahaaaaaaa we Kibela nyokooooo.. Hahahahahaaaaa mupeeeeeeee hajielewi penis my ass .....hatukutukutu hatukutaki!!! Unakilemba km bi tarabushiii kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
    2. kibela,umeona hiyo picha nyingine dimond alivyokuwa anamkiss wema?mboo imesimama,angalia picha aliyopiga dimondo akipigwa kiss na penseli,mi nilitegemea dimondo atakumbatia demu kwa mahabati,ndio kwanzaa mikono kakumbatia mapaja yake,penseli usiforce mapenzi,unatumia nguvu nyiiiingiii kuwa na dimondo,mshirikina mkubwa.

      Delete
  22. Hahaa mdau hapo juu na watuache tuleweeeeeee

    ReplyDelete
  23. Pi movie hapo malysia au bdayyyyyyyyyyy,hv nkuulize kitu kifutio ushawah kwenda nje na dimondo ww,ss kwa taarifa tu sa walienda woteeee

    ReplyDelete
  24. Tofautisha hyo kiss na yako ya bday hhwheheiyaaaa na maua yako ya kitandan km unafuga nyuki

    ReplyDelete
  25. Yani nackia utamu sana..wen I see Wema&Diamond...weraa weraaaaaa...buuuuuuuu kwa Peny kwisha habari yko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny we have been telling u several times lakin ulikuwa husikii.Unaona sasa madhara yakumpenda mtu asiyekupenda?penny chukua hatua.

      Delete
    2. Mahaba niue!wapi waosha vinywa wakina Queen Darling?penny leo atavuta kweli bangi na kunywa sana pombe.Pole sana ila umejitakia mwenyewe.

      Delete
    3. Mahaba niue!wapi waosha vinywa wakina Queen Darling?penny leo atavuta kweli bangi na kunywa sana pombe.Pole sana ila umejitakia mwenyewe.

      Delete
  26. Hakupendi huyo angekuwa anakupenda ungekwambia umsindikize kwenye hiyo movie.Watu walienda kujilia vyao kwa raha zao shida ya nn!mrudie shikamoo jazz wako wa DTV huyu Diamond ni mkristo ushike moyo humuwezi ameshazoea mapenzi ya mikikimikiki.

    ReplyDelete
  27. Ila Diamond mbayaaa anajua kumla kisogo Penny.Penny fungasha kilicho chako uondoke hata mams mkwe au mawifi wakikubembeleza kataa kabisa uwe namsimamo maana wewe peke yalo ndio unayeumia nakuiabisha familia yenu.Familia ya Penny poleni sana kwa aibu aliyowaletea penny

    ReplyDelete
  28. Hahaaaa mjin shule na dalesalama laha sana..penny tumeshakwambia almost a hundred times lakin ukajifanya umepinda,let Mi tel u Kenya dimondo alikua na Wema tena waliondoka wote kuelekea huko,SA kwenye mambo ya watuache tulale(no 1) walikua wote,malyasia walikua wote,hongkon walikua wote Mara ya kwanza na hii ya pili Upo Hapo bib?tatizo ukiambiwa unaona watu wazushi,Haya Sasa na this tym we amin tu kua ni movie,wallah tena UTAJICARRY

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maama Yake na babaaaaa mdau!wasema kweli?mtumeeee asimame!salaleee!

      Delete
  29. peny mdogo wangu embu angalia mwenzio anavyofurahia kic na sepetunga we lini umeshikwa hvyo?kwenye umat wa watu tuu mikono anaeka mapajan mkiwa wawil jee?uculazimishe moyo wala ucone aibu jpokuwa mapnz yanauma

    ReplyDelete
  30. Hahahahaaaaaaa nacheka hadi nachanua uchiiii...Penny alisema 'until God say so' hahahaaaaaaaa..God ndo keshawarudisha wawili hawa upooooooo!?Ila tuache utani huyu Penny hana ndugu????kama mpo mwawezaje kumwacha ndg yenu aadhirike hivi eeh??hapa penzi hakuna jamaniiii kusoma Penny hajui basi hata nyie nduguze hamwezi kumfundisha kupitia picha???khaaaa,hivi mamaake yupo???Binti aliyefundwa huwa haishi ktk aibu mydear Penny,u deserve mo than this....Ona mwenzio kakumbatiwa full mahaba lkn ww ulikuwa unaforce tena ktk video ndio unapayuka kabisa kuomba upigwe picha u were like PICHAAA PICHAAAA kama kichaaa...Tena kina Halima,Esma na Darleen walimpa pombe Diamond ili angalau akuactie kukupenda bila hivyo ni Shidaah ilikuwa..Hebu amka ww binti,khaaa...Mi siku nkikuona ntakutandika vibao aisee,unaaibisha bana Wangazija hatuko hvyo,au wewe muhaya???????

    ReplyDelete
  31. Wanacheza, movie pipo diamond hamjamuelewa????????

    ReplyDelete
  32. Picture ya pili Malaysia coz hapo nyuma ni mall naijuwa. ya kwanza sijuwi wapi . Yaonekana watu walianza malay ikamalizika hongkong. Pencil fungasha mama na mapema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ilianzia kenya mdau hawa watu wapogo my dia,mi nlipanda nao ndege wakati wanaenda kenya na kushikana mikono juu...na picha walipigwa we tulia ipo siku watu watazirusha,
      Penny hajawah kusafiri na dimondo hata mara moja lakin wema trip zote yumooooooooo,true love never die mama,mi nasubiri tu nione hiyo movie

      Delete
  33. peny jamani hata kuvaa hajui nywele kama za mwanaume mambo yote wema bwana tanzania nzima hakuna wa kumfikia wema love you mwah yani wema ni vile tu kampenda nasib diamond but in reality DIAMOND DONT DESERVE WEMA wema alitakiwa kuwa na mtu kama kina cheki budi kina chris taka how HB lakini diamond umaarufu tu unambeba but he is not sultable for wema kembamba mwaanaume hata akikuhug huhisi chochote what a man diamond nothing

    ReplyDelete
  34. weraaaaaaaaaaaaaaaaaaweraaaaaaaaaaaaaaa Wema + Diamond

    ReplyDelete
    Replies
    1. weraaaaaaaa All Tanzanians love Wema + Diamond = True love never die, weee penseli fungashaaaa, huna mvuto hupendeki bidadaaaaaaaaa, safari bado unayo ya kuiba vya watu eeee lol wajifanya mgumu atiiiiii nyolo yako wewe, KAHABA MKUBWA!! ulidhani K yako ina macho loooooool pole kama hujua imejaa tongotongo jibu lake kipofu. heheheeeeeeeeeeeiyah!

      Delete
  35. Binafis sikupenda Penny alipotembea na shemeji yake Diamond ambapo sasa wenyewe walikosana akajichukulia poa sasa wamerudiana ktk penzi hutakiwi kuliingilia!Diamond endelea na Wema tena mimi nimefurahia sana Diamond coz Penzi ni msaliti wa rafiki yake Wema!

    Nachukizwa na wanaoingilia ndoa au mapenzi ya marafiki zao wakiona hawapatani wao ndo wanatumia mwanya wa kujiingiza ktk mapenzi!haya peny nawe kinakuuma nini wakati uliwakuta ktk penzi lao?
    Pole Penny waache wale raha zao.Tena wewe sintah kimebelembele ungekuwa wewe umechukuliwa ungelifurahia?lakini Wema alinyamaza tu!

    ReplyDelete
  36. Pen wolper anakusubiri kwa hamukasagane alikumiss kweli alikuwa anasema.

    ReplyDelete
  37. We mdau hapo juu sintah ametokea wapi blog zote umemwona sinth nyoko

    ReplyDelete
    Replies
    1. KILA MLA CHA WENZIE NA CHAKE HULIWA POOOOOLE PENCELI UMEBAKI UFUTIO WEE MASKINI, Wema ndio mpenzi wa kweli kwa ALMASI maana hakufuata pesa wala ustaa wake alimpenda kama aliyo mtt wa mbagala sasa wewe MWIIIIIIIZI MKUBWA! Nani Hakujui.................. Mapenzi ya dawa huwa hayana UHAI But true love never die..... KUBALI HUTAKIWI YAISHE kwaaaaaaheeeeeeeeeeeeeeryyyyyyyyyyyyyyyyy

      Delete
  38. duuh,mbn km ha2waelewi hawa watu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huelewi nini? DIAMOND AND WEMA ARE FOREVER: Hbari ndio hiyooooo

      Delete
  39. dada yangu penny nakupaushauri achana na. usiano huu hata watanzania wengi wanaonekana hapendi.comment 53 zote zinakudiss.wengine wame kupa jina la pencil pole quet
    mn.g machimkenda

    ReplyDelete
  40. dada yangu penny nakupaushauri achana na. usiano huu hata watanzania wengi wanaonekana hapendi.comment 53 zote zinakudiss.wengine wame kupa jina la pencil pole quet
    mn.g machimkenda

    ReplyDelete
  41. Hahaha mdau nmeona mwanvuli wa daimon ulivokunjuka chezea kukumbatia kwa hisia weyeeeeee lzma abdala kichwa wazi asimameee,

    ReplyDelete
  42. kipenis hakina jipya acha wenzio wajilie bwana

    ReplyDelete
  43. teh teh, wat goes around always comes around!!!

    ReplyDelete
  44. hahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    hivi unaweza ukatarajia mapenzi ya kweli kutoka kwa mtu kama diamond

    ReplyDelete
  45. hahahahahahaha Naona Diamond atawamaliza mara Wema mara Uwoya inamaana Diamond ana Sukari na Chumvi wamalize ndugu yangu ... ndio yawo hao.......

    ReplyDelete
  46. Tuache tulale. Hahahaaaa. In penis voice. Umeambulia kigari mamake. Ukisepa sepa nacho. Umevurukwaje? Chezea wema weweeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kigari wapi??/ile BREVIS haijafika mpaka leo mdau...hahaaaaa Baby Mama jaman huh

      Delete
  47. Penny ni mtoto wauswazi. Atachomaje ubani na udi kuwaita mabibi na mababu wake. Hahahaa heyaa. Wow bby boy is back to his bby girl. Hivi wewe ulishawai kusafiri na nasee @ penny?

    ReplyDelete
  48. What a shame! Message zote za kumkandia penny zimeandikwa na mtu mmoja, hauna kazi za kufanya utafikiri unalipwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shut up,muulize mwenye blog zimeandikwa na watu wangapi si anajua IP adress zetu..mavi wewe..

      Delete
  49. Huyu pen ndo nani naona.vitambaa kichwani wema namjua maana aliwahi kuwa miss tanzania naomba mdau atiririke kidogo nimjue na penseli

    ReplyDelete
  50. Wee apo juu unacmaje kuma wew.! Eti mtu m1 kaa ivoivo tako lako

    ReplyDelete
  51. Weeee unatia huruma hapo juu nahis team penny poyeee sio mtu mmoja babu wee

    ReplyDelete
  52. Ww hapo juu kumann?mtu mmoja ataandikaje comment zote?kama imekuuma kale kuma ya pencil!

    ReplyDelete
  53. Kweli maisha ni adabu usipoishika adabu itakutambua.

    ReplyDelete
  54. Jamani vp hali ya mgonjwa?penny uguzwa na ndugu zako ukitoka hospital rudi kwenu.Haya mapenzi ya mahaba niue utakuja kufa bure wakati taifa bado linakuhitaji.

    ReplyDelete
  55. Usikubali diamond,wifis na mama mkwe waje kukuuguza huko nikujitukanisha mwenyewe.Jipamge anzs maisha yako yatakuwa ya amani na furaha hujachelewa bado.

    ReplyDelete
  56. WOTE DIEMOND,PEN NA WAMO WOTE WAZINIFU niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete
  57. kiss ya kwenye diamond bday na penny ni kama ya charle champion yule mwigizaji wa marekani. no feelings at all but with wema its so sweet

    ReplyDelete
    Replies
    1. PENNY DADA YANGU CHUKUA PICHA ULIYOPIGA NA DIAMOND SIKU YA BDAY MNAPIGA KISS HALAFU LINGANISHA NA ALIYOPIGA NA WEMA,PICHA ZAKO HATA FEELINGS HAKUNA KABISAAAA JIPANGE DEAR UTAJAFA NA UGONJWA WA MOYO KWA MAHABA NIUE.

      Delete
  58. Wema juu haaasssssss

    ReplyDelete
  59. Wema ur gorgeous...... U'll always be the head of ol coz u own diamond the rest were just renting him......i love ur heart, wape tym ya kuosha na diamond bt at the end of da day u r still da stunner n da two of u r so fucken wonderful lyk no one can imagine......love u wema

    ReplyDelete
  60. Wema ur gorgeous...... U'll always be the head of ol coz u own diamond the rest were just renting him......i love ur heart, wape tym ya kuosha na diamond bt at the end of da day u r still da stunner n da two of u r so fucken wonderful lyk no one can imagine......love u wema

    ReplyDelete

Top Post Ad