"SIKATI MAUNO ILI KUIPAGAWISHA MIDUME".....SNURA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kamwe wanaume za watu wasimmendee katika shoo zake kwani hakati mauno ili kuwapata hasa wenye wake.

Akipiga stori na paparazi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa kutuma maombi ya kutongoza. 

“Sipendi kabisa kusikia masuala ya wanaume za watu, siko tayari kuvunja ndoa za watu. Pesa za kuhongwa sioni raha nazo hata kidogo napenda za kujitafutia za kwangu,” alisema Snura.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waambie hao Snura,We need 2 Change nw!

    ReplyDelete
  2. Wee wapi wew nenda zako

    ReplyDelete
  3. Ana kundu zuri kwa tigo

    ReplyDelete
  4. Mkundu kama huu ni mzuri kwa kuufira mana unavutia

    ReplyDelete

Top Post Ad