STEPHEN WASIRA "SINA UFUNGUO WA IKULU, SIWEZI MCHAGULIA RAIS NANI WA KUONANA NAYE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

*Asema hampangii Rais nani aonane naye
*Mtikisiko mkubwa watarajiwa bungeni Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema hana mamlaka ya kumchangulia Rais nani akutane naye.

Alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Rai yaliyofanyika Jumanne wiki hii ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu hali ya siasa nchini katika kipindi ambacho umma wa Watanzania unasubiri kusainiwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete.

“Taarifa kwamba naweza kumwambia Rais Kikwete aonane na huyu au asionane na yule si za kweli, Rais ana mamlaka yake, ana ofisi yake binafsi, pia yeye ni kama baba hivyo mtu yoyote bila kujali itikadi ana haki ya kuonana na Rais.


“Ninachofahamu muswada ukija Rais atasaini kwa sababu taratibu na kanuni zote zimefuatwa, lakini kama wenzetu wanahitaji kumuona Rais ni sawa, na amesikia wito na amekubali. Tusubiri matokeo ya mazungumzo,” alisema.

-Mtanzania

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh wasira hebu rekebisha kauli yako usiwe waziri mzembe usokuwa na uzalendo na nchi tunalofahamu kuwa rais kikwete anataka kuonana na viongozi vya kambi za upinzani kwasababu anajua hili sio la mtu mmoja ni lawananchi wa tanzania . usiseme kuwa wao ndio wanaotaka kumuona hapana rais ndio anaetaka kuwaona na rasimu in sha allah hatotia saini kwasababu ni mzalendo kabisakabisa na hao ndio viongozi tunaowataka katika nchi

    ReplyDelete
  2. MZEE MNAFIKI SANA HUYU,KWANZA WAZEE KAMA HAWA NDO WANARUDISHA NYUMA MAENDELEO YA NCHI HII,KUSTAAFU HAWASTAAFU WAMEBAKI KUNG'ANG'ANIA MADARAKA TU! YEYE HATA KAMA OFISI ZAKE ZIPO IKULU LAKINI HAWEZI KUMPANGIA MTU YOYOTE KWENDA KUMUONA RAIS.

    ReplyDelete
  3. huyu mzee ni mnafiki balaah na hawa ndio wanao mtia rais akili za kuambiwa.niwassira huyu huyu aliesema kambi ya uplinza hawata alikwa tena ikulu akazungumzia mpaka mambo ya juice na chai .ilizee kazi uroho tu lizania mbowe hana juice na chai.nakwatarifa yako rais ndio anayetaka mazungumzo na kawaalika yeye ikulu wewe wassira.lukuvi.kawachoka kwasababu rais hataki tena akili zakuambiwa.m
    ng.machimkenda

    ReplyDelete
  4. Hehehe kweli Huyu MZEE WASIRA anafanana na BHOKE mtoto wa MANGE KIMAMBI .Duh Watu mnajua fananisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. sa we matako ndo umeandika nin,anafanana na ile k ya mama yako inayotoa machozi

      Delete
    2. Ni kweli bhoke kafanana na wasira duhhh

      Delete
  5. Unajua unaweza kua umesoma vizuri ila huna upeo wala kipaji cha utawala inaonekana uongozi ameupata bahati mbaya tuu hana jipya yupo tuu anakula kodi zetuu

    ReplyDelete
  6. Mzee Wassira a.k.a baboon ni mnafiki mchumia tumbo asiyekuwa na aibu.

    ReplyDelete
  7. Wassira is terribly ugly on looks and at the heart.He is a nightmare to look at!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kafanana na mtoto wa mange

      Delete
  8. Anafanana na kimaryo

    ReplyDelete

Top Post Ad