TAZAMA PICHA ZA WASANII WAKUBWA DUNIANI, WALIOWAHI KUWA WAPENZI ALAFU WAKATEMANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nick Cannon na Kim Kardashian



Tupac Shakur na Jada Pinkett
Kati ya zote hawa ndo waliyoniacha hoi!!

Rihanna na Lewis Hamillton aliyekuwa mpenzi wa mda mrefu wa Nicole Schezinger


Eddie Murphy na Toni Braxton 



Tyra Banks na Will Smith


Nilipigwa a butwaa baada ya kugundua kuwa wasanii hawa walikuwa wapenzi hapo awali, unadhani wanamatch? Toa maoni yako hapa....

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanao match ni dimond na wema, hao wengine chenga tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwi Kwi Kwi mdau umeua!

      Delete
    2. kwi kwi kwi,,,,hapo umenena ile mbayaaa

      Delete
  2. hahhahahhahh kweli diawema wanamatch mbaya sana

    ReplyDelete
  3. Makubwa sikujua atiii

    ReplyDelete
  4. wema na dimond ndo habari ya mujin

    ReplyDelete
  5. eka picha ya wema na dimond ndo mpango mzima kama hao cjui kim na nan kama walipenda mbona hawajarudia kama wema na dimond

    ReplyDelete
  6. Wema na Dai wapo juu!hao hatuwajui!

    ReplyDelete
  7. Wema na dimondo ndo sare sare mauaaaaa

    ReplyDelete
  8. Na isiyomatch ni dai na pen yan km supu mlenda na baga

    ReplyDelete
  9. Yan kibela unaona mbali aseeeeh hao hao diamond na wema wanapendezana sna

    ReplyDelete
  10. Duniani lilia bahati sio uzuri,KIM KARDASHIAN na uzuri wote huo lkn wanaume wamempiga danadana kama mpira maskini,Hivi kuna star wa kiume hajapita hapo???

    ReplyDelete
  11. hamna hata mmoja wote wamepita

    ReplyDelete
  12. Weera weraa!!!!!! Wema na kaka Diamond mpango mzima

    ReplyDelete
  13. Kim bahati anayo si unaona anafunga ndoa na anavunja mwnyewe yani anaringia uzuri na pesa family yso hawbsbaiki angekuwa hana bahati angekuwa anaachwa,mama ake mwenyewe kamuacha mumewe juzi

    ReplyDelete
  14. Ila tony na eddy murph wamenivutia kweli walipendeza sana

    ReplyDelete

Top Post Ad