google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html TB JOSHUA ATABIRI TENA, RAIS AFRICA MASHARIKI ATATEKWA NA CLUB KULIPULIWA | UDAKU SPECIAL

TB JOSHUA ATABIRI TENA, RAIS AFRICA MASHARIKI ATATEKWA NA CLUB KULIPULIWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yule Mchungaji Maarufu kutoka Nigeria Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea  TB Joshua leo ametoa utabiri mpya ambao unahusisha Africa Mashariki ...ameonyeshwa rais mmoja Africa Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani? 

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.


Jamani tuombe sana isiwe Tanzania

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

42 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Boya 2 kwenda zako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUNA LOLOTE WE JOSHUA KAMA UNAO UWEZO WA KUOMBA UONYESHWE KWA NINI USIOMBE YASITOKEE. TUPA KULE WASHIRIKINA WAKUBWA.

      Delete
  2. Mpiga ramli huyo mshenzi mkubwa.
    tunawajua sana na mambo yao washirikina wakubwa wanatumia muamvuli wa dini.
    "HATEKWI MTU HAPA"

    ReplyDelete
  3. Mpiga ramli huyo mshenzi mkubwa.
    tunawajua sana na mambo yao washirikina wakubwa wanatumia muamvuli wa dini.
    "HATEKWI MTU HAPA"

    ReplyDelete
  4. mzush 2 huyo mchawi

    ReplyDelete
  5. tanzania laana haita ondoka kamwe kwa sababu ya kuropoka maneno machafu kwa watumishi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hana lolote huyo asitafute umaarufu wa kiiman ye kawa mganga au???

      Aliye kuwa anatabiri ni yesu na akina nuhu tena walikuwa wana ambiwa na mungu ye akafe mbele hao fake postors

      Delete
    2. Mungu akusamehe hujui utendalo kama ni msomaji biblia utajua kuwa Tb joshua ni mtumishi wa kweli wa Mungu na mpakwa mafuta Muombe Mungu akusamehe coz ni dhambiii kuwasema vibaya watumishi wa Mungu na kama huamni piga gotii muulize Mungu kama ni kwelii mtumishi wa MunguN, Mungu ni mwaminifu atakujibu

      Delete
  6. Aache ujinga huo kwani ye nani?hana lolote hao ndo manabii wa uongo walionenwa kuwa watatabili mambo na uatakuwa na watafanya mambo yakuonekana kuweni makini na hawa watu

    ReplyDelete
  7. "lisemwalo lipo"

    ReplyDelete
    Replies
    1. usiruhusu akil ndogo itawalae akil kubwa yamesemwa mangap??? Na hayaja tokea???

      Delete
  8. nyie hapo juu manojifanya kukashifu watumishi wa Mungu yatawashida kwa ubishi wenu hata mkiambiwa ukimwi unaua mnakataa, mkiambiwa kuwa nchi inaliwa na mafisadi bado mnawapa kura CCM mkiambiwa jamani tukapige kura ili tujipatie viongozi tunaowataka hamtaki subiri mtakataa hata vifo vyenu na bado mtakufa.Mungu awahurumie sana

    ReplyDelete
  9. Hata wewe mungu akuhulumie huwezi kumtabila mtu kifo chake anayejua ni mungu pekee.huyo mtabili hajajitabilia yeye atakufa lini?

    ReplyDelete
  10. NAWEWE ACHA UNAFKI KUWASAPOTI WAPUMBAVU WENZIO KAMAWEWE UNAWAJUWA MAFISANI KWANINI USIWATAJE WAKAMATWE UMBEYA 2

    ReplyDelete
  11. SIPATII PICHA SIKU TUNAONA BREAKING NEEWWWWSSS! "RAISI WA TANZANIA MH. DKT JAKAYA KIKWETE ATEKWA NA MAHARAMIA WA M23 AKIWA IKULU DAR ES SALAAM. TUKIO HILO LIMETOKEA MCHANA KWEUPEE MIDA YA SAA SABA AMBAPO WALINZI WALIKUWA LUNCH. MAHARAMIA HAO WAMEIBA HADI FANICHA ZA IKULU NA BENDERA YA TANZANIA IMECHAFULIWA KWA MK..JO NA KINY..S.! HABARI ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE................!"

    ReplyDelete
  12. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  13. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  14. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  15. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  16. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  17. Isiwe Tanzania unataka iwe nchi gani we mavi ko kwa wenzio ndo unaombea yatokee

    ReplyDelete
  18. Peter unatujazia page 4 nothin... Mbulula

    ReplyDelete
  19. Oh my God. I know what he is talking about....that terrorists attack took place before...and it will happen Again...I remember that...but I too I am afraid to mention the country. HE say not Kenya and I know not TANZANIA too. But yes East Africa...while people are eating and drinking...an attack took place. Ohh God help us.

    ReplyDelete
  20. Duh.....this guy means business! Tuombe jaman!! He's the real deal

    ReplyDelete
  21. Udaku mnachanganya habari sikiliza tena vizuri kuhusu huo unabii aliotoa plsssssss, alisema 1.kuna rais wa nchi atatekwa ila hakutaja ni nchi gani?
    2.alisema East Africa kuna nchi watakuwa kuwa attack kama ilivyotokea West Africa na hiyo nchi ni jirani sana na Kenya na akasema hiyo nchi ya East Africa walishawahi kuwa attacked miaka ya nyuma tena walikuwa attacked walikuwa kama ni kwenye part.

    Alisisitiza unabii wakwanza na wa pili ni vitu viwili tofauti na haviingiliani kabisa.tena akatoa onyo kwa waandishi wa habari wa quote right

    ReplyDelete
  22. matusi yote hayo ya nini nivi ikitokea itakuaje nyiyi mliokataa kwani hamjui kwamba hizi nisiku za mwisho jamani tuweni macho ilisemwalo lipo ....... tuzidi kuomba mungu atunusuru na hii ziki ya dunia

    ReplyDelete
  23. no laana hao ndio manabii wa uongo tena wametabiliw ktk biblia tatizo wnatumia mahangaiko ya binadam kujinufaisha. padri titus aliwahi kusema ishara na miujiza kaburi la wasioamin. nae mkuu Jesus alisema mna masikio hamsikii na mna macho hamuoni. mfn wa Tb joshua ni sawa na kakobe,lusekelo nk

    ReplyDelete
  24. Mbishi ni kumuacha2 na ubishi wake ili siku ikifika kwa kibur chake alichonacho abishe tena...

    ReplyDelete
  25. ahahahaaaa biashara kweli matangazo!!! hvi nyie mnaomtetea huyu baba hamuoni kma mwenzenu yupo kibiashara zaidi!!! tena na ushirikina juu!!! kma kweli ni mtume kma mnavyoamini mbona anashindwa kuomba ili kuzuia hayo majanga? upumbavu mtupu! hawa kina tb joshua na wenzie kina gwajima ni wahuni tuu!!! ATAKAEKASIRIKA AMEZE TOFALI LKN UKWELI NIMESEMA

    ReplyDelete
  26. Mwenyezi Mungu awasamehe kwani hamjui mlisemalo.

    ReplyDelete
  27. akusamehe na ww ambae unatetea uovu

    ReplyDelete
  28. KUNA IMANI ZINGINE NI ZA KISHENZI NA ZENYE LENGO LA KUPUMBAZA NA KUGHIRIBU WATU NAO WAAMINI KAMA WAPUMBAVU TENA KWA NGUVU NYINGI. WACHUNGAJI WA SIKU HIZI WAPO KIMASLAHI NA KIDUNIA ZAIDI NA WENGI WAO NI WANAHUSUDU NGUVU ZA GIZA NA MATUKIO YA KUTENGENEZA ILI KUJIONGEZEA UMAARUFU NA FEDHA.
    KUNA HAJA GANI KUWAFUATA WATU KAMA HAWA AU NDIO TUNAMACHO LAKINI HATUONI?
    imani na usanii (uongo) abadani haviendani, tusitegemee tawile. vitutawale kanisani.

    ReplyDelete
  29. KUNA IMANI ZINGINE NI ZA KISHENZI NA ZENYE LENGO LA KUPUMBAZA NA KUGHIRIBU WATU NAO WAAMINI KAMA WAPUMBAVU TENA KWA NGUVU NYINGI. WACHUNGAJI WA SIKU HIZI WAPO KIMASLAHI NA KIDUNIA ZAIDI NA WENGI WAO NI WANAHUSUDU NGUVU ZA GIZA NA MATUKIO YA KUTENGENEZA ILI KUJIONGEZEA UMAARUFU NA FEDHA.
    KUNA HAJA GANI KUWAFUATA WATU KAMA HAWA AU NDIO TUNAMACHO LAKINI HATUONI?
    imani na usanii (uongo) abadani haviendani, tusitegemee tawile. vitutawale kanisani.

    ReplyDelete
  30. hata wakati wa nuhu watu walibisha hivyo hivyo,baadaye kila mtu anajua kilichotokea.

    ReplyDelete
  31. Rekebisha heading kuhusu rais east africa. Amesema rais atatekwa but hajataja nchi. Kuhusu terrorist attack ndo kasema nchi ya east africa. Heading inapotosha habari

    ReplyDelete
  32. Nimekuwa kikifuatilia sana mamba yasemwayo na TB Joshua. Yote asemayo yamekuwa yakitokea. Wengi waliokuwa wakipuuza baadaye wakaja kusadiki. Mnaopinga kweli hii, jaribuni kusikiliza tena na tena aliyosema na fuatilieni kitakachotokea. Bila shaka kutoamini kwenu kutageuzwa kuwa kuamini. Mungu aturehemu wana East Africa.

    ReplyDelete
  33. Tanzania,Tanzania ni Nchi tunayoiombea sana naamini Mungu wetu hatatuacha tufikwe naaibu kubwa namna hiyo,lakini pia Mungu anamtumia TBJOSHUA 100% katika unabii wake pia kama unamsikiliza TBJosua huwezi kumtukana matusi yanamna hiyo hapojuu, kama unamjua Mungu ungetulia tuu na kusubiri kama ni mwongo basi umwache aabike mwenye,my friend TBJ is a unique pastor in the World take care, please hold on time will tell.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mi waniboa walivyo mtukana,,, nahisi hawamjui ndo maana wanaropoka 2

      Delete
  34. watanzania tuacheni maneno machafu,,,mbona alisha tabiri mengi na yametokea??? inatakiwa tumwombe mungu utuepushie isiwe sisi wabongo sio kutoa maneno ya kashfa,,

    ReplyDelete
  35. Amani na upendo wake Bwana uwe nanyi !!

    ReplyDelete
  36. Yawezekana kweli kaoneshwa na mungu inatupasa tuombe ili isitokee

    ReplyDelete
  37. TUOMBE MUNGU SANA KWANI INAWEZEKANA TUCHUKUE TAHADHARI KABLA HAYAJA TOKEA TUOMBE MUNGU SANA MBONA TUKITABIRIWA NA WAGANGA WA KIENYEJI MNAAMINI

    ReplyDelete

Top Post Ad