UFOO SARO WA ITV APIGWA RISASI, MAMA YAKE AUWAWA..ALIYE WAPIGA NI MCHUMBA WAKE NAE AJIUA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Alfajiri  ya  leo, mtangazaji  wa  ITV   anayejulikana  kwa  jina  la  Ufoo Saro  amejeruhiwa  vibaya  kwa  kupigwa  risasi  na  mchumba  wake ambaye baada ya tukio hilo naye alijipiga risasi na kujiua.

Akizungumza na mpekuzi wetu,  kamanda Wambura  ambaye  ni kamanda  wa polisi wa  mkoa wa kipolisi wa kinondoni  amesema tukio hilo limetokea majira ya alfajiri ya leo.

Kamanda wambura amedai  kuwa mwanaume  aliyetenda  mauaji  hayo ni  mchumba  wake  na  alikuwa anafanya  kazi  katika umoja wa mataifa ( UN ) huko sudani ila bado haijafahamika  kitengo alichokuwa  akifanyia  kazi.

Kwa  mujibu  wa  Kamanda Wambura, inasemekana kulikua kuna ugomvi kati ya wawili hao ambapo walishindwa kuelewana na ndipo walipoamua kwenda kwa mama mzazi wa Ufoo Saro(mama mkwe) ili  awasuluhishe

Baada  ya  usuluhishi  kuanza  na  kuonekana  kuwa  tatizo  liko  kwa  mwanaume, mwanaume huyo alimshutumu mama mkwe wake kwamba amekuwa  na  mazoea  ya  kumtetea mwanae   na  ndipo alipotoa bastola na kumpiga mama yake na Ufoo Saro risasi ya kichwa na kumuua papo hapo....


Alipomuua  mama  huyo, mwanaume huyo  alimpiga Ufoo Saro risasi mbili , moja ya tumboni na nyingine ya mguuni na kudhani kwamba amemuua kumbe amemjeruhi tu kisha kujipiga mwenyewe risasi ya kidevuni na kufariki dunia hapo hapo.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. r.i.p mama Ufuo

    ReplyDelete
  2. Poile Ufoo saro kwa matatizo yalio kupata mungu akupe nguvu upone

    ReplyDelete
  3. Duh ufoo saro ulimpa nn huyo kijana wawatu duh mapenz kweli yanauwa

    ReplyDelete
  4. Jamani hizi busta wadada tupige kwa makin mana dozi ikizidi ni majanga.... nimeguswa sana poleni walengwa

    ReplyDelete
  5. OBAS MHEMEJI_Pole xana mama kwa msaada wa mungu utapona kikubwa n kumuomba mungu?amina

    ReplyDelete
  6. Kuna habari mitaani kwamba jamaa akiwa sudan alikuwa anamtumia ufoo hela wajenge nyumba yao lakini ufoo na mamaye wakajenga kwao. Sasa jamaa kurudi ndo akashtukia mchezo na hela zake nyingi ashatuma na chake hana ndo hasira ikamshika akaamua kuwamaliza wote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Machame line hawajaacha haya mambo hadi leo?mpaka jamaa amefikia uamuzi wa kuwauwa na kujiua mmemkera sana

      Delete
    2. we kuma umenikera kuliko ilvyo kawaida wamachame wanahusika nine mlamba vyoo we matako ya bib yako jikon koma na ukomae...bdala ya kutoa pole unaleta usenge

      Delete

Top Post Ad