TUSICHOKIJUA KUHUSU JANGA LILILOMSIBU UFOO SARO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa itv na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery Mushi,ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi wa muda mrefu kuhusu nyumba ambayo ilikuwa ikimilikiwa na marehemu Mushi.ni kuwa wakati marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa kubadilisha hati za umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya Minjingu,manispaa ya Arusha kwa kushirikiana na mama yake.Marehemu Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo ndipo marehemu Mushi alipoamua kuandika maelezo juu ya mambo aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua alioindika aliiacha nyumbani kwa mama yake Ufoo.kama uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka hadharani,pia kuna uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara atakapotoka hosp. kutokana na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla ya kujiua.Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.

Source:Jamii Forums
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukweli utajulikana tu. Kumbuka kwamba utavuna unachopanda, usitegemee kupanda mchicha ukavuna mahindi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ya kweli kabisa hayo. Ufoo amevuna alichopanda.

      Delete
  2. kaskazini ni balaa

    ReplyDelete
  3. Sasa ndio mnaongea, mtu hawezi toka kule Sudani akaja kuua tu watu ovyo lazima iko namna. Ufoo c mMACHAME?
    Tunasubiri Episode 3

    ReplyDelete
  4. HILI LIWE FUNDISHO KWA MAMA WAKWE WOOTE WANAOINGILIA MAPENZI YA WATOTO WAO NA KUWACONTROL. KAMA NI KWELI UFOO ALIBADILI HATI LAZIMA ATAKUWA ALIPATA USHAWISHI KWA HUYO MAMA. MAMA UFOO REST WHERE YOU BELONG (RWYB)

    ReplyDelete
  5. Ukimuona hata hafanani na aliyoyafanya. Kumbe tapeli wa kike, utabadilishaje hati ya Mtu bilateral ridhaa yake. Amekosa mama, mume na hiyo nyumba atanyang'anywa.

    ReplyDelete
  6. wanawake wakimachame ndio walivyo mtakufa mbwa nyie wanaume wanatafuta hela afu mnakuja kuwatapeli kisenge tuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. kasikazin oyeeeeeeeeeeeee, na nyie wanaume ndio mjifunze, chezea kasikazin.
      ndugu yangu akioa huko taliaje

      Delete
  7. Mnauhakika lakini au umbea wa jf

    ReplyDelete
  8. Huyu dada Mungu kamuokoa na kifo hivyo anapaswa atubu dhambi, nadhan nafsi yake anajua nini sababu ya mumewe kufanya tukio hilo ambalo si la kawaida kibinadamu hadi kupelekea vifo vya mama yake mpenzi na mume wawe mpenzi. Tumwombee apone haraka.

    ReplyDelete
  9. wanawake wakimachame tamaa mbele,hawanaga mapenzi ya kweli wengi ma pretender,tena ukichelewa ana kuua yeye anabaki na mali na watoto....pumbavu kabisa

    ReplyDelete
  10. ndo mkaoe wachaga muone,,,,maslahi mbele sheeenz

    ReplyDelete
    Replies
    1. ha ha!! mi hapana taka hizo kabila kabisaa

      Delete
    2. Yaan hawafai kabisa. kama ni kweli,pesa inatafutwa kwann watu wasiwe na subra?

      Delete
  11. Ukweli anaujua ufoo.

    ReplyDelete
  12. Family ya Ufoo na kituo anachofanyia kaz walijifanya kuficha ukwel oooh eti kisa ni WIVU kwa mwanamke gan ss?!?kumbe mnaficha aibu yenu wivu amuue hadi manamkwe? Mkae mkijua ukwel tutaujua kupitia family ya Mushi coz inawauma mmesababisha kifo cha mpendwa wao kwa dhuluma yenu!! NI MM UFOO SARO WA ......!!!!!! Shenz type tapeli mkubwa.!

    ReplyDelete
  13. Mm csem maana naogopa Ndg yangu kaoa huko hapa mavi debe jamani makubwa hayo!!!!!

    ReplyDelete
  14. Mpaka WASUKUMA wameishtukia KASKAZINI MASHARIKI baada ya kuona MH. wao Paulo Bomani akiadhirika. Jamani hii ni karne ya ngapi acheni utapeli wa zamani, tafuteni mbinu mpya (yaani kwanini usitafute chako?)

    ReplyDelete
  15. Machame hiyi balaa lazima uzurumiwe

    ReplyDelete
  16. Jamani kwanini ufoo alifanya uhuni kama huo?

    ReplyDelete
  17. Et wivu wa mapenzi wakati m2 kapigwa changa!
    NI MIMI UFOO SARO WA AITIIIVII

    ReplyDelete
  18. huyo alikuwa mchaga mwenzake ndio mana aliwashtukia lakini ingekuwa kabila lingine huyo mushi angewahiwa yeye kitambo.

    ReplyDelete
  19. Ufoooo kwanza Kwa sura tu anaonesha tapeli mwizi

    ReplyDelete
  20. Ufoooo kwanza Kwa sura tu anaonesha tapeli mwizi

    ReplyDelete
  21. Inatisha jamani,miye nimempa mimba mtoto wa kichaga mida hii napanga kumuoa,kwa style hii natishika kidogo.cjui nifanyeje?

    ReplyDelete
  22. sio wachagga wote wenye hiyo tabia, wako wengi tu wenye hofu ya Mungu na Nyumba zao zimadumukwa furaha na Upendo. Mimi nieoa uchaggani,na nina marafiki zangu wengi wameoa huko pia wanaishi vizuri na ni mfano wa kuigwa ( hawa wake zetu, wamenunua viwanja, Mashamba, tumejenga tunaishi), still heshima iko palepale. Tena binafsi nina Mushukru Mungu sana kwa mke ayenipawa. Hili la juzi limeniuma zaidi maana limefanywa na ufoo. Ameharibu sana. USALITI NI HULKA YA MTU SIO KABILA

    ReplyDelete
  23. Nilitaka kushangaa eti vivu!!! Kwa lp hasa sura yenyewe nzitooo...kumbe jambaz

    ReplyDelete
  24. sijui kwanini huyo ufoo hajakufa kwani anaroho mbaya sana na nafikiri alikuwa pia alikuwa anamuombea mwenzake afe ili yeye na mama yake wawe wamiliki nyumba kitu gani duniani hapa haya sasa mama yako kafa na wewe mwenyewe hoi umevuna ulichopanda. wala hukupendezea na roho hizo huyu ufoo ni mmachame roho mbaya kama jina lake. mungu amlaze mahali pema baba watoto wake

    ReplyDelete
  25. Wanawake wote wa mkoa wa Kilimanjaro ndo zao hizo ndo maana utakuta wanawake wengi wa mkoa huu waume zao wamekufa yeye kamiliki nyumba na mali zingine huku akiwa mdogo kabisa .Jamani wanaume tuangalie sana wakati wa kuoa makabila mengine hayafai Ohoooooo.....

    ReplyDelete
  26. hahhaaha em msituzibie riziki sisi... hayo yalikua mambo ya kizaman saiv wamachame wameelimika kwanza nimafighter kuliko waume zao.

    ReplyDelete

Top Post Ad