UGONJWA WA PUMU UNAMTESA SANA JOKATE AOMBA WATANZANIA MUMWOMBEE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu.

Hayo ni maneno ya Jokate mwegelo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa mtandao wa GPL hivi karibuni.

Mwanadada huyu ameataka fans na watu wote wenye mapenzi mema wamuombee kwani pumu hiyo kwa sasa imemshika sana

Pole sana Jokate
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana jokate! kuna dawa
    nnzuru tu ya pumu kama uko tayari nipatie namba yako tuongee ili nikufahamishe hiyo dawa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ata mie nina tatizo kma ilo je waweza nitajia namba yang ni 0653331823

      Delete
  2. tumia dawa ya kuzuia attack inaitwa serflo,pia epuka karufu mbaya na nzuri sana sinaongeza pumu

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. Ama nini?ebu kwendreee zako uko,mumuwaChe jokate alale.

      Delete
  4. ndio umejifotoa ukiwa unaumwa......mburaaaaa

    ReplyDelete
  5. C uliiba vya watu,diamond wa wema,utajiju mwenyewe

    ReplyDelete
  6. ...mko wangapi?

    ReplyDelete
  7. jokate isijekuwa mawaya yameshakuzonga! nanda ukapime afya yako sio uko nyumbani tu!

    ReplyDelete
  8. mbona marazi madogo tu hayo ya pumu kunywa manii ya albino utapoa haraka sana!

    ReplyDelete
  9. We mchawi kweli, unakulaga watu ukiumwa, unamwambia mwenzio anywe maini ya albuni, kama huna la kumwambia kaa kimya.

    ReplyDelete
  10. Dada jokate, ebu jaribu hii dawa,
    Chukua sigara kubwa(bange) vuta asubuh ikitokea umebanwa mala moja kwa siku,alf PLZ nunua kwa m2 unaemwamin maana wengine watakuongezea heroin au cocaine ukasababisha mengine,try it for 1 week only.

    ReplyDelete
  11. Jamani mke wangu mtarajiwa unaumwa duuu...pole mamaaa

    ReplyDelete
  12. Pole sana mrembo wema kakuroga mama.

    ReplyDelete
  13. Mi nawashangaa hawa watu wanaomfanyia jorking waki ifurahia hali aliyonayo dada yetu badla ya kumuombea

    ReplyDelete
  14. pole sana utapona mungu atakusaidia cha msing ni kumuomba na kumkabidhi maladhi yako ambayo yanakusumbua pole kidoti

    ReplyDelete

Top Post Ad