"SITOI NG'O FEDHA ZA RAMBIRAMBI ZA ASKOFU KULOLA KWASABABU NIMEDHALILISHWA"...MZEE WA UPAKO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchungaji wa Kanisa la GRC, Anthony Lusekelo ‘ Mzee wa Upako’ amesema hatatoa ng’o fedha za rambirambi za Askofu Moses Kulola kutokana na kudhalilishwa kulikofanywa na wahusika wa kukusanya fedha hizo.
Akizungumza na gazeti hili Jumamosi iliyopita kwa njia ya simu, Mzee wa Upako alisema badala yake fedha hizo shilingi milioni 15 sasa zitatumika kutibu maumivu aliyoyapata kutokana na vyombo vya habari kuandika utata juu ya ahadi yake ya kutoa rambirambi hizo.
“Kwanza mimi mtu aliyetajwa kuwa angekusanya fedha hizo ambaye ni Mweka Hazina wa Kanisa la EAGT, Mchungaji Praygod Mgonja  simjui kwa sura, nilishamueleza njia gani muafaka ya uwasilishaji wa fedha hizo, badala yake akatumia vyombo vya habari kunidhalilisha.

“Nilimwambia Mchungaji  Mgonja kuwa shilingi milioni kumi na tano siyo kama shilingi laki tatu; Zinapaswa kuwa na utaratibu unaoeleweka wa kutolewa. Nikamwambia mama Kulola (mke wa marehemu) azifuate mwenyewe ili aniombee baraka, akasema sawa, sasa nashangaa ananidhalilisha,” alisema Mzee wa Upako.
Alisisitiza kauli yake hiyo pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno wa simu kwa mwandishi wa habari hii kuwa hatatoa ng’o fungu lake aliloliahidi.
Aliongeza kuwa kwa sasa ameghairi kutoa fedha hizo kwa kuwa anadhani kuna njama fulani ambazo hakuzitaja na kwamba fedha hizo sasa atazitumia kutibu majeraha aliyoyapata baada ya habari kutoka katika vyombo vya habari.

Gazeti hili wiki iliyopita lilimnukuu Mchungaji Mgonja akisema kuwa hajapokea rambirambi za Mzee wa Upako ambazo ni shilingi milioni 15 na wengine walioahidi akiwemo Mchungaji Josephat  Gwajima aliyeahidi kutoa shilingi milioni 10 na Mchungaji Getrude Lwakatare (shilingi milioni moja) walishatoa.
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALOKOLE WANAPENDA HELA SANA KINAFIKI NAFIKI..LUSEKELO USITOE HATA MIA.....BORA UPELEKE KWA YATIMA.M 15 UWAPE ZA NINI? ZITAMFUFUA MAREHEMU AMA?

    ReplyDelete
  2. Sasa mzee wa upako amekosea rambi rambi gan huwa wanafuata nyumbani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kaka hakunaga rambirambi inayofuatwa nyumbani kwa m2,mzee wa upako angalia yule unaesemaga hatashinda akakushinda kupitia hilo

      Delete
  3. Aliahidi ili kupata sifa ya kupongezwa kutoa rambirambi kubwa ila hakua na nia ya dhati kutimiza ahadi yake. Sasa kama mtumishi wa bwana anashindwa kutimiza ahadi yake tunapatwa na wasiwasi juu ya imani yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeongea huyu mzee wa upako hana lolote alitaka sifa sasa mziba umeishaisha imekula kwake kwani anaidanganya iman yake mwenyewe kujitutumua bila kitu hata kitu.mshenzi tutwa kuhubiri uongo tangu lini mjane akafuta rambirambi kama sio dharau. akae nazo kwani zitaongeza nini kwwnye hiyo familia utapel tu aibu yake.

      Delete
  4. Sijawahi kimwamini Lusekelo hata cku moja. ni msanii sana tu.Jamani toka lini ahadi za msibani hufatiliwa majumbani kama michango ya harusi! tena hata harusi michango hutolewa kwenye vikao. Leo hii mama mfiwa amfate Lusekelo kwake! Huyu ni mtu mpumbavu sana sijui waumini wake wanamuamini kwa kitu gani.Ilikuwa kujishaua tu 15m mbona kawaida sana unaweka mfuko wa suruali tu yeye anataka azipeleke kwa mapambio? Stupid.

    ReplyDelete
  5. Wstashindanaaaaaaaaaa lakini rambirambi,haitoki

    ReplyDelete
  6. reaally nonsense..we si mchungaji kusamehe hakuna?unatuonyesha nn?ubabe?? na tangu lin rambirambi zafuatiwa nyumbani wap ww!!magumashi tu!wewe kama mchungaji sioni unachonfundsha zaidi naona unahtaj kufundshwa kipnd cha maadilli, mmama wa watu jamnny sielew unavyokubali kuiendea mtu kama anamoyo wa kutoa atatoa loh had mashart! mil 15 co lak 3 lakn zote zaitwa pesa tena za rambirambi uwezo unatofautiana mchungaji,

    ReplyDelete
  7. malaya tuu alitaka amfunue amkinyolee etii afate nyumbani wizi mtupu na kujishauha aonekane anazo

    ReplyDelete
  8. "haya ni magumu kuyafanyia maamuz kwan c ye2 na imeandikwa kwamba ya KAISALI tumpe KAISALI na ya MUNGU tumpe MUNGU au nimekosea Wadau?

    ReplyDelete
  9. Mwizi kwa kutumia jina la Yesu, Alaaniwe

    ReplyDelete
  10. Wewe msani malaya,Ulitaka mke wa kulola akufuate nyumbani kwako kuchukua rambirambi ya pesa tu au na uroda pia?

    ReplyDelete
  11. Lusekelo umejaa usanii tuuu eti Mfiwa aje nyumbani kwako kuchukua rambirambi we punguani kweli.

    ReplyDelete
  12. Afu nyie nani anam2kana mzee wa upako,matako nyie ckawambieni kwamba ile ckama laki3 so kunaitajika utalatibu unaoeleweka.asa mnaongea nin kuma nyie.,kama humpendi cufe unataka sis 2fanyeje mikundu yewnu wote mlio mdis

    ReplyDelete
  13. Wewe hapo juu utakuwa msukule wa lusekelo mamae alipotoa ahadi si kwa hiari yake iweje leo ashindwe kupeleka rambirambi kujishaua tu hana pesa ya kutoa alitaka sifa mkundu yule ati mzee wa upako kumamamake anachezea watu tu alitaka mama aende akachukue alafu amtie madole huyo mama aji ngo tuone nani mwenye dhambi malaya tu.

    ReplyDelete
  14. Utakapoweka nadhiri kwa Bwana, Mungu wako, usiwe mlegevu katika kuiondoa; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, hataacha kuitaka kwako; nayo hivi itakuwa dhambi kwako.

    Lakini ukijizuia usiweke nadhiri, haitakuwa dhambi kwako.
    Kumbukumbu la Torati 23 : 21 - 22

    ReplyDelete
  15. mmmmh!matusi humu yamezidi sana mbona huwa ham,tukani na kusema mboo yako....asante kwa neno zuri wewe hapo juu yangu

    ReplyDelete

Top Post Ad