VERY TOUCHING STORY: KILA UMUONAE DUNIANI ANA HISTORIA NA MATATIZO KIBAO..USIHUKUMU HARAKA HARAKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kijana wa Miaka 24 baada ya kuchungulia NJE ya treni iliyokuwa kasi ikienda kigoma ,alipiga Kelele " Baba , tazama Miti inarudi nyuma "

Baba yake alitabasamu na kulikua na wanandoa waliokua wameketi karibu nao , walimwangalia kijana huyu wa miaka 24 kwa dharau , huku wakihoji Tabia yake hiyo ya kitoto , mara kijana huyoo akatamka maneno mengine ...

"Baba tazama hata mawingu yanakimbia angani na sie ,yapo speed kama hii treni "
wanandoa Hao walio kua karibu wakashindwa kujizuia wakamua kumsemesha Baba wa Kijana huyo Ambae Umri ulikua Umeenda , " Mzazi Mwenzangu Kwa nini Usimpeleke Hospitali akamuone Daktari Huyu Kijana wako ? "

Baba Mzazi wa Kijana huyoo Alitabasamu na kusema , " Nimefanya Hivyo ndio natoka nae Hospitali huyu Mwanangu , Usimuone Hapo alikuwa KIPOFU toka Kazaliwa , Yani Leo ndio Sikuyake ya kwanza KUONA ,nilikuwa namuelekeza mambo mengi hapo awali ,asiyo yajua hapa ndio anashangaa " 

"SOMO LAKUJIFUNZA HAPA " Kila umuonae Duniani ana historia na Matatizo kibao , Usije ukamuhukumu au Uka MJUDGE mtu Pasipo Kumfahamu vizuri Anatoka wapi wala aendapo katika maisha yake , maana ukiujua Ukweli wa Maisha yake waweza kukushangaza .

TAMBUA :
BABA mzazi wa mtoto huyo alijibu Maswali aliyo ulizwa na MWANAE, Hii pia iko Hivi Kwa MUNGU anapo JIBU maombi yako hapa duniani kila UKISALII ..


Muombe MUNGU kwa kila Jambo na Maisha yako yatabadilika Siku Moja .Kama Unataka MUNGU abadilishe MAISHA YAKO , Press "LIKE" au andika AMEN kumtukuza 


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Its very nice........Good massege.

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa

    ReplyDelete
  3. God be with me

    ReplyDelete
  4. Atukuzwe Mungu wetu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyopo. Amen

    ReplyDelete
  5. Basi...uwe unatuandikia story kama hizi za maana tujifunze na kukyza utu wetu.Asante sana. Ubarikiwe.

    ReplyDelete
  6. Ameni,utukufu kwa Mungu juu.

    ReplyDelete
  7. leo story mzuuuri inavutia,,subir pumba zitakazofata xaxa

    ReplyDelete
  8. ahimidiwe aliyejuu

    ReplyDelete
  9. Jamani tujifunze kulia na kuomboleza wakati tunaomba.Mimi chozi langu alikupotea bureee,Mungu wangu ananitunza,watt wanaosema ulaya maisha magumu du.....mi naishi raha mustarehe,Asante Yesu wewe ni Mungu,anayeamini Amen,asiyeamini ipo siku ataamini.

    ReplyDelete

Top Post Ad