VIJANA 11 MTWARA WAKAMATWA WAKIWA WANAJIFUNZA UGAIDI KWA CD ZA AL-SHABAAB NA AL QAEDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Breaking News: Vijana 11 wamekamatwa Mkoani Mtwara wanafanya mazoezi katika msitu wa Makolionga na CD zenye mafunzo ya kigaidi za Al Qaeda na Al Shabab pamoja na zana za hatari

Polisi mkoani Mtwara imewakamata vijana kumi na moja wakiwa wanafanya mafunzo ya kijeshi kwa kutumia CD za Al Shabaab na Al Qaeda  katika mlima wa Makolionga...CD hizo zinaonyesha mbinu mbali mbali za kijeshi na mauaji 
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad