MITANDAO YA KIJAMII NA ATHARI ZAKE KWA WADADA WALIO KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia sana mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano Twitter, Facebook, INSTAGRAM nk , Siku hizi wimbi kubwa limeibuka la wadada kutumia mitandao hii unaweza kwenda na mdada Date lakini asilimia 80 atakuwa anabofya bofya simu yake badili ya kuongea na wewe ...huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora mwanaume akawa anafahamu mambo mengi kuliko mwanamke atakudharua san maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!

Udaku Specially Blo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh katika kuchagua mke zunguka koote mwisho ni kumwomba muumba wako ajuae ubavu wako halali hiyo ni suluhu nzuri na ya kudumu.

    ReplyDelete
  2. Mke mwema anatoka kwa Mungu

    ReplyDelete
  3. wengi wao wavivu wa kazi za nyumbani ndio maana wengi wao hawaolewi

    ReplyDelete
  4. Dah! Yaan nimeshangaaaaaaaaaaa, uo urojo hapo juu. Mdada atakuwa anachat kama hana interest nawewe au unamboa . Ukiona hivyo potezea

    ReplyDelete

Top Post Ad