WADADA WAZICHAPA KAVU KAVU BARABARANI WAKIGOMBANIA BWANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadada wawili Warembo wa Mitaa ya kawe waliamua kuzichapa kavu kavu bila maglovsi mbele za watu kwa eti mmoja akimtuhumu mwenzie kuwa anatoka na Boyfriend wake...Inasemekana hawa madada ni marafiki sana lakini leo yamewashinda baada ya kuchangia bwana mmoja ...


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaume wa kuwagombania Wabongo wamefulia mnooo.wanagombaniwa kwa lipi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange na sintah .kajala na shamimu

      Delete
  2. Wamepitwa Na Wakati

    ReplyDelete
  3. Ni Mataila kuna wanaume empty af yenyewe yanagombania """MBULULA"

    ReplyDelete
  4. Hivi kuna watu baado wana gombania mabwana dunia hii! Tena na ngumi unarushiana na binti mwenzio!? Uwii kweli kila mtu naakili zake... Kata mti panda mti, chamuhimu ni kutumia kinga . Pigania jitu zima for what!!? Tupa kuleee

    ReplyDelete
  5. Kila mmoja ana hisia zake binadamu wote hawafanani,ww unaesema kata mti panda mti inaoyesha una asili ya ukahaba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kukata mti na kupanda mti niukahaba, basi na wewe pia kahaba! Maana ulishaga kata miti na kupanda miti mingi sana tu! Nandio nikasema kila mtu na akili zake,unakurupuka huko na mostress yako unavamia comment yangu...Kwani hao wanao pigana wanapigania nini!? Uniachageeee lol

      Delete
  6. Kweli mdau kila mtu na hisia zake,na hawa wanaokurupuka na kuona hisia zao ni sawa na watu wengine ni taahira aende MIREMBE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa siutowe maoni yako kwa wanao pigania mabwana! Ooh tunakurupuka, mara matahira, sijui mirembe! Mumu What is ur on problem abeg? Cheiii abeg comot, leave us alone ooo ! hehehe

      Delete
  7. Hahahahahahaha...vichaa kweli hao.

    ReplyDelete
  8. Wewe uliesema kata mt panda mt namwunga mko alisema wewe ni kahaba,,kama wewe huna malengo na wanaume wenzio wanamlengo nao unaongea maneno ya bei poa ktka mapenzi,wewe utakua changudoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Leave me elonooooo abeg! Toa maoni yako kwa wanao pigania mabwana na sio ukataji mti wangu na upandaji mti wangu cheii. Check ur life ooo

      Delete

Top Post Ad